peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 18,223
- 31,465
CCM ni Serikali na Serikali ni CCM.
Mkutano mkuu wa CCM,ni janga Kwa Taifa,eleweni hivyo .
Mkutano mkuu wa CCM,ni janga Kwa Taifa,eleweni hivyo .
Sio kuhairishwa, unachafua lugha.Wakuu
Hivi ni nini kinaendelea huko CCM? Mbona ni kama mfumo umepaniki wakuu?
Baada ya kuhairishwa kwa vikao leo wameitisha mkutano wa dharura. Nini kinaendelea?
=======
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kuitisha Mkutano Mkuu Maalum wa Taifa utakaofanyika kwa njia ya mtandao siku ya Jumamosi, Julai 26, 2025 kuanzia saa 2:00 asubuhi.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka vyanzo vyetu vya kuaminika ndani ya CCM, tangazo hilo lililotolewa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) wa Idara ya Oganaizesheni, Issa Haji Ussi Gavu, kwa Makatibu wa Wilaya na wa Mikoa wa CCM linaeleza kuwa mkutano huo utaongozwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Katika maandalizi ya mkutano huo, Makatibu wa Wilaya na wa Mikoa wa CCM wameelekezwa kuwaelekeza wajumbe wote wa Mkutano Mkuu waliopo katika maeneo yao kuhakikisha wanakusanyika katika ofisi za CCM za Wilaya au Mikoa, kutegemeana na nafasi, ili kushiriki kwa pamoja.
Taarifa hiyo pia imeweka msisitizo juu ya maandalizi ya mazingira ya kufanikisha mkutano huo, ikiwemo kuweka vifaa vya kuoneshea kama televisheni au skrini, viti vya kutosha, na kuhakikisha mazingira ni tulivu pamoja na kuwa na miundombinu imara ya mtandao.
Jambo TV imezungumza na makatibu wa CCM wa wilaya na mikoa mbalimbali ambao wamethibitisha kupokea tangazo hilo huku wakieleza kuanza maandalizi ya mkutano huo.
Hata hivyo ajenda zenyewe za mkutano hazijawekwa wazi huku kukiwa na tetesi juu ya uwepo wa maamuzi kadhaa mazito yatakayopitishwa na mkutano huo wakati ambao chama hicho kiko katika mchakato wa kuwapata wagombea wa nafasi mbalimbali za chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu.
View attachment 3417205
Wajukuu na vitukuu wako wataelekea wapi Kwa mwendo huo?Hakuna mkate mgumu kwenye chai.Sisi wakitulipa posho ya kutosha hatutajali kupitisha ajenda yoyote,hata kama kuuza nchi.
Sisi ni kupitisha tu,wao watajuana huko huko.
Majaliwa awe mgombea mwenza mbona kitakua kituko basi majaliwa akiwa mgombea mwenza bado Master mind JK bado atakua mshindiKama ni kweli basi inawezekana kukawa na mabadiliko wa wagombea wa ngazi za juu. Hususani, Majaliwa kuwa mgombea mwenza na Nchimbi akisubiri uwaziri mkuu. Kwani kile kikao cha January 2025 hakikutarajia Majaliwa hatagombea ubunge, walitarajia ataendelea na uwaziri mkuu. Ndiyo matatizo ya kuteua mapema mno. Busara huwa ni kusubiri hadi dakika za mwisho ukipima upepo unakoelekea.
Kupitisha mgombea u-Rais baada ya Polepole kuharibu hali ya hewaNi mkutano wa kwenye kalenda
Sahivi mtandao wote kaukamata huyu tapeli wa mali za ummaMajaliwa awe mgombea mwenza mbona kitakua kituko basi majaliwa akiwa mgombea mwenza bado Master mind JK bado atakua mshindi
Usibebwe na upepo mgombea wa CCM tayari anajulikana ni Dr SamiaKupitisha mgombea u-Rais baada ya Polepole kuharibu hali ya hewa
Taratibu hazikufuatwa wala katiba ya nchiUsibebwe na upepo mgombea wa CCM tayari anajulikana ni Dr Samia
Hilo tutusa aka zwazwa halitaki tujadili chama kinachotuibia kodi zetu, anataka tumjadili yeye na uzwazwa wake!!?CCM ndio chama tawala, kama hutaki tukijadili unataka tujadili nini? Uchawa wa Dotto Magari?
Hakuna kutoka kwenye reli. TUTAJADILI SIASA.
Mlizoea kutupambaza na mambo ya wasanii. Sahivi tutakula na nyie sahani moja.
Tukigongewa wewe unawashwa wapi? Au ulitaka ugongwe wewe? 🤔
Hawampendi kina nani?!!! Nyie chadema?!!!!!Huyu mama anatia huruma Sana unawezaje kulazimisha kuongoza watu ambao hawakupendi?
Mtahangaika sana manyumbu lakini Samia ataiacha ccm ikiwa imara kabisa.Kwaiyo Chura ana tegemea ulinzi wa mwinyi saivi hana iman na bara 😹😹 Tutaajie wahusika w amkutano wote kua chini ya ulinzi wa TWISS wakati mkutano ukifanyika
Upupu gani!?..kapuuzwa,ni kama hakuna alichofanya,asubiri kutiwa adabu baada ya uchaguziUpupu aliowamwagia Chakubanga siyo wa kitoto wanajikuna hadi makalioni.
HIi habari ni ya kwelii?Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kuitisha Mkutano Mkuu Maalum wa Taifa utakaofanyika kwa njia ya mtandao siku ya Jumamosi, Julai 26, 2025 kuanzia saa 2:00 asubuhi.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka vyanzo vyetu vya kuaminika ndani ya CCM, tangazo hilo lililotolewa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) wa Idara ya Oganaizesheni, Issa Haji Ussi Gavu, kwa Makatibu wa Wilaya na wa Mikoa wa CCM linaeleza kuwa mkutano huo utaongozwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Katika maandalizi ya mkutano huo, Makatibu wa Wilaya na wa Mikoa wa CCM wameelekezwa kuwaelekeza wajumbe wote wa Mkutano Mkuu waliopo katika maeneo yao kuhakikisha wanakusanyika katika ofisi za CCM za Wilaya au Mikoa, kutegemeana na nafasi, ili kushiriki kwa pamoja.
Taarifa hiyo pia imeweka msisitizo juu ya maandalizi ya mazingira ya kufanikisha mkutano huo, ikiwemo kuweka vifaa vya kuoneshea kama televisheni au skrini, viti vya kutosha, na kuhakikisha mazingira ni tulivu pamoja na kuwa na miundombinu imara ya mtandao.
Jambo TV imezungumza na makatibu wa CCM wa wilaya na mikoa mbalimbali ambao wamethibitisha kupokea tangazo hilo huku wakieleza kuanza maandalizi ya mkutano huo.
Hata hivyo ajenda zenyewe za mkutano hazijawekwa wazi huku kukiwa na tetesi juu ya uwepo wa maamuzi kadhaa mazito yatakayopitishwa na mkutano huo wakati ambao chama hicho kiko katika mchakato wa kuwapata wagombea wa nafasi mbalimbali za chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu.
View attachment 3417211
Katiba ya nchi kwenye uteuzi wa mgombea wa CCM!?Taratibu hazikufuatwa wala katiba ya nchi
Mlevi huyoKatiba ya nchi kwenye uteuzi wa mgombea wa CCM!?
Katiba za vyama vyote vinafuata katiba ya nchiKatiba ya nchi kwenye uteuzi wa mgombea wa CCM!?
Katiba ya nchi ndo mamaKatiba ya nchi kwenye uteuzi wa mgombea wa CCM!?