GE2025 Kumekucha! CCM yaitisha mkutano mkuu wa dharura kwa njia ya mtandao

GE2025 Kumekucha! CCM yaitisha mkutano mkuu wa dharura kwa njia ya mtandao

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mkutano Mkuu una hadhi yake, ndicho chombo kikubwa zaidi kwenye chama au taasisi kinachotoa maamuzi ya mwisho.

Mkutano Mkuu wa CCM una wajumbe takriban 2,000 kutoka mikoa yote Tanzania, unahusisha vitu vingi, kupata taarifa kutoka kila mkoa, wilaya, jimbo, jumuia za chama nk, unahusisha wajumbe kujadiliana, kupongezana, kukosoana, maswali na majibu baadae mkutano kutoka na maazimio ya pamoja. Interaction ya wajumbe uso kwa uso matters a lot.

Haya yote hayawezi kufanyika mtandaoni kwa muda wa nusu saa au saa moja, kingekuwa kikao cha NEC au Kamati kuu inayohusisha wajumbe wachache sawa. Kwanza teknolojia yetu huko vijijini bado duni.

Labda watuambie Mwenyekiti anakuja kutoa taarifa ya jambo fulani lakini sio kutuambia ni Mkutano Mkuu.
Hakutakua na huo mkutano. Wanatumia hiyo platform kuhalalisha udhalimu waliofanya januari. Hawajiamini wameamua kufumba macho. This time hawachomoki. CCM wakumbuke baada ya hayo yote inabidi warudi kwa wananchi kuuza sera zao. Hapo ndipo watakutana na wasijotarajia. Wameruka mkojo ila watakachokanyaga watajuta
 
Mabadiliko ya katiba ya ccm yaliyofanywa 29 may 2025 uliyazingatia?

Endapo mkutano kwa njia ya mtandao utafanyika basi mfahamu ya kuwa:-

Mama 3 - 0 Polepole.
Hatukatai mabadiliko tunachohoji ni utekelezaji wake, ni sawa na kusema utafanya kampeni ya urais nchi mzima kwa njia ya mtandao bila kwenda vijijini.
 

Attachments

  • IMG-20250703-WA0007.jpg
    IMG-20250703-WA0007.jpg
    47.9 KB · Views: 16
Mkutano Mkuu wa ghafla. Sasa hivi hakutakiwa na mbwembwe za wasanii.
 
Itakuwa wamekwepa gharama au kuna jambo linatakiwa kupita kimya kimya bila mabishano.
 
Jk hamumuwezi, huu mwanasiasa aliebobea
Kabobea kwenye ujinga!! Na kama kabobea kwenye ujinga hatusemi siasa tunasema si-HASA.

Wanasiasa wabobevu hutumia siasa kutenda yaliyo mema kwa wananchi wao!

Kama unatumia siasa kuumiza wanyonge wewe si mwanasiasa ni kibaka kama vibaka wengine! Tuondolee uchawa hapa!
 
Mkutano Mkuu una hadhi yake, ndicho chombo kikubwa zaidi kwenye chama au taasisi kinachotoa maamuzi ya mwisho.

Mkutano Mkuu wa CCM una wajumbe takriban 2,000 kutoka mikoa yote Tanzania, unahusisha vitu vingi, kupata taarifa kutoka kila mkoa, wilaya, jimbo, jumuia za chama nk, unahusisha wajumbe kujadiliana, kupongezana, kukosoana, maswali na majibu baadae mkutano kutoka na maazimio ya pamoja. Interaction ya wajumbe uso kwa uso matters a lot.

Haya yote hayawezi kufanyika mtandaoni kwa muda wa nusu saa au saa moja, kingekuwa kikao cha NEC au Kamati kuu inayohusisha wajumbe wachache sawa. Kwanza teknolojia yetu huko vijijini bado duni.

Labda watuambie Mwenyekiti anakuja kutoa taarifa au anahutubia wajumbe lakini sio kutuambia ni Mkutano Mkuu.
Mkutano Mkuu wa Mitandaoni ni ujinga wa pili uliopitishwa na Mkutano mkuu uliompitisha mgombea haramu kuogombea Urai...s.

Walipitisha kwa kushangilia,baada ya kulambishwa kitita cha 2.6 milioni Kila mjumbe na kupiga makofi ukumbini, sasa madhara yake ndio haya!
 
Posho t
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kuitisha Mkutano Mkuu Maalum wa Taifa utakaofanyika kwa njia ya mtandao siku ya Jumamosi, Julai 26, 2025 kuanzia saa 2:00 asubuhi.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka vyanzo vyetu vya kuaminika ndani ya CCM, tangazo hilo lililotolewa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) wa Idara ya Oganaizesheni, Issa Haji Ussi Gavu, kwa Makatibu wa Wilaya na wa Mikoa wa CCM linaeleza kuwa mkutano huo utaongozwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Katika maandalizi ya mkutano huo, Makatibu wa Wilaya na wa Mikoa wa CCM wameelekezwa kuwaelekeza wajumbe wote wa Mkutano Mkuu waliopo katika maeneo yao kuhakikisha wanakusanyika katika ofisi za CCM za Wilaya au Mikoa, kutegemeana na nafasi, ili kushiriki kwa pamoja.

Taarifa hiyo pia imeweka msisitizo juu ya maandalizi ya mazingira ya kufanikisha mkutano huo, ikiwemo kuweka vifaa vya kuoneshea kama televisheni au skrini, viti vya kutosha, na kuhakikisha mazingira ni tulivu pamoja na kuwa na miundombinu imara ya mtandao.

Jambo TV imezungumza na makatibu wa CCM wa wilaya na mikoa mbalimbali ambao wamethibitisha kupokea tangazo hilo huku wakieleza kuanza maandalizi ya mkutano huo.

Hata hivyo ajenda zenyewe za mkutano hazijawekwa wazi huku kukiwa na tetesi juu ya uwepo wa maamuzi kadhaa mazito yatakayopitishwa na mkutano huo wakati ambao chama hicho kiko katika mchakato wa kuwapata wagombea wa nafasi mbalimbali za chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu.

View attachment 3417211
Posho tutalipwq na nani.Mbona nahisi tunaenda kufanya kazi ya hisani.Makatibu walivyo na njaa watatulipa kweli?
Britanicca kapigwa kibano, hana ubavu wa kusikia chochote sasa hivi.
Britanica juzi alisema mkutano Mkuu maalumu utafanyika Agosti 16.
Au alisikia vibaya.
 
Mkutano Mkuu wa CCM Taifa,ndio unaunda serikali na ndio unao Unda chama.
Unauendesha kwa mtandao????
Tena wajumbe walio wengi ni F4 walio feli na la Saba kibao😳
 
Posho t

Posho tutalipwq na nani.Mbona nahisi tunaenda kufanya kazi ya hisani.Makatibu walivyo na njaa watatulipa kweli?

Britanica juzi alisema mkutano Mkuu maalumu utafanyika Agosti 16.
Au alisikia vibaya.
Britanica aliondolewa kile kitengo muhimu, siku hizi anapiga ramli TU.
Zamani akiwa ikulu, tulikuwa tunapokea taarifa sahihi kwa muda sahihi.
 
Mabadiliko ya katiba ya ccm yaliyofanywa 29 may 2025 uliyazingatia?

Endapo mkutano kwa njia ya mtandao utafanyika basi mfahamu ya kuwa:-

Mama 3 - 0 Polepole.
Ajabu ni kwamba barua ya kuahirisha kikao Cha Kamati kuu hakusaini Makala na huu mkutano Mkuu hakutangaza yeye.
 
Back
Top Bottom