figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
CHADEMA chini ya Mwenyekiti Tundu Lissu, Waanza kazi rasmi.
Wajipanga na kujikoki kwa uchaguzi ujao.
Pia soma: Pre GE2025 - Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%
Bon yai na Sugu mambo ya kususa na manung'uniko yameisha? Mbowe bado anajitibia maumivu..
Matukio katika picha kikao cha Kamati Kuu ya Chama kilichoketi leo tarehe 04 Februari 2025 Bagamoyo Mkoa wa Pwani.
Habari zaidi, stay tuned