Pre GE2025 Kumekucha CHADEMA chini ya Mwenyekiti Tundu Lissu waanza kazi rasmi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Brother I never knew you hate Lissu to this extent😪😭😭😭
I Loved him to that extent until he became a powermonger during the election campaign! My friend Mshana , alichokifanya Lisu cha character assassination ya Mbowe, unakubaliana nacho? Huyu mtu hafai kabisa! Kesho atakugeukia wewe!

All in all nina zero effect katika ustawi wa chadema, you can as well ignore me in all issues involving Chadema
 
Haters...at the end mtakubali tu
Kukubali ili iweje kwa Lisu? ana nini cha maana ? Tuliingia chadema kwa nia thabiti ya kujenga platform ya kupigania demokrasia and not otherwiase maana chadema hakuna lolote la material gain, sana sana ni maumivu! Akitokea mtu kama Lisu aka misbehave ili apate cheo kwa kuwabagaza/character assassinate wenzake, siwezi kuambatana na jitu kama hilo.
 
Viongozi wa Chadema maskini wa hela wakliwa wamepiga picha ya pamoja

Chama bila hela mtaishia kupiga picha tu
 
Akitokea mtu kama Lisu aka misbehave ili apate cheo kwa kuwabagaza/character assassinate wenzake, siwezi kuambatana na jitu kama hilo.
Lisu sio.mwademokrasia hata kidogo
Hana lolote.zaidi ya matusi na character assassination kwa watu
 
Kukubali ili iweje kwa Lisu? ana nini cha maana ? Tuliingia chadema kwa nia thabiti ya kujenga platform ya kupigania demokrasia and not otherwiase maana chadema hakuna lolote la material gain, sana sana ni maumivu! Akitokea mtu kama Lisu aka misbehave ili apate cheo kwa kuwabagaza/character assassinate wenzake, siwezi kuambatana na jitu kama hilo.
Kwanini uligombea wakati unajijua si mwanademokrasia?
 
Lisu sio.mwademokrasia hata kidogo
Hana lolote.zaidi ya matusi na character assassination kwa watu
Hakuna ccm aliyemkubali Lissu hata ccm hakuna democracia ndio maana hamfanyi uchaguzi wa viongozi bali mnapitisha tu.
 
Kukubali ili iweje kwa Lisu? ana nini cha maana ? Tuliingia chadema kwa nia thabiti ya kujenga platform ya kupigania demokrasia and not otherwiase maana chadema hakuna lolote la material gain, sana sana ni maumivu! Akitokea mtu kama Lisu aka misbehave ili apate cheo kwa kuwabagaza/character assassinate wenzake, siwezi kuambatana na jitu kama hilo.
Chuki chuki.
 
Hamna kitu ,Lisu atafanya nini? Njia ya Slaa inamuita! Aache kuropoka, diplomacy muda mwingine inatakiwa. Ukiwa mbabe na wenzako wenye majeshi wanakuwa wababe. Angalia upepo unavyovuma and yake care!
Baada ya miaka 10 mrudisheni Mbowe aje awatapeli Tena na maridhiano
 
Chuki chuki.
Chuki aliyoonyesha Lisu kwa Mbowe dio ya dunia hii ni ya kishetani na kuzimu kabisa

Sikuamini macho wala Masikio yangu kuwa kumbe ngozi halisi ya Lisu ndio hiyo? Aweza kweli mfanyia Mbowe vile? Aisee
 
Alimfanyia nini mbowe?
 
Back
Top Bottom