Pre GE2025 Kumekucha CHADEMA chini ya Mwenyekiti Tundu Lissu waanza kazi rasmi

Pre GE2025 Kumekucha CHADEMA chini ya Mwenyekiti Tundu Lissu waanza kazi rasmi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hamna kitu ,Lisu atafanya nini? Njia ya Slaa inamuita! Aache kuropoka, diplomacy muda mwingine inatakiwa. Ukiwa mbabe na wenzako wenye majeshi wanakuwa wababe. Angalia upepo unavyovuma and yake care!
Brother I never knew you hate Lissu to this extent😪😭😭😭
 
maandamano yamepitwa na wakati, hii CHADEMA mpya watapata ushindi wa kushangaza
Ushindi gani wakati yule Mzee wa Kishashi kawekwa pale pale ili atufanyie Distraction tuwe tunajibizana nae kushtukia siku ya uchaguzi imefika.
 
Hamna kitu ,Lisu atafanya nini? Njia ya Slaa inamuita! Aache kuropoka, diplomacy muda mwingine inatakiwa. Ukiwa mbabe na wenzako wenye majeshi wanakuwa wababe. Angalia upepo unavyovuma and yake care!
huo ni udikteta hautakubalika kufungafunga wapinzani
 
Waleeee, walivyo na shauku ya kujua kinachojiri, Wallahi leo halali mtu! Pole sana Malaria 2 !
 
Lissu kanyoaa kumbe kijana....hiviii Watasema mbangaizaji alikosa pesa ya saloon sasa analambishwa asali.. Kumbe anakula mshahara mnono zaidi ya mbunge.
 
Back
Top Bottom