Pre GE2025 Kumekucha CHADEMA chini ya Mwenyekiti Tundu Lissu waanza kazi rasmi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Uchaguzi upi tena, au tayari reforms zimeshapatikana?
Ooh.. Mlijua CHADEMA watawasusia CCM kama 2019? Sahau.. Punde si punde litatokea la kutokea.. Makoshaaa.. Wololo yaye..
 
Maandamano ya Amani ya kudai Reforms yaitishwe mara moja.
 
Ooh.. Mlijua CHADEMA watawasusia CCM kama 2019? Sahau.. Punde si punde litatokea la kutokea.. Makoshaaa.. Wololo yaye..
Hamna kitu ,Lisu atafanya nini? Njia ya Slaa inamuita! Aache kuropoka, diplomacy muda mwingine inatakiwa. Ukiwa mbabe na wenzako wenye majeshi wanakuwa wababe. Angalia upepo unavyovuma and yake care!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…