Kumekucha! CHADEMA yatangaza kuanza kwa mikutano ya hadhara Nchi nzima

Kumekucha! CHADEMA yatangaza kuanza kwa mikutano ya hadhara Nchi nzima

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Hii ndio Taarifa mpya iliyosambazwa na chama hicho leo 14/12/2022 kwa waandishi wa Habari.

Katibu Mkuu wa Chama hicho John Mnyika amewataka waliokuwa Wagombea Ubunge wa Chama hicho, kwenye kilichoitwa Uchaguzi Mkuu wa 2020 kuanza mara moja na kwa haraka sana Maandalizi ya Mikutano ya hadhara kwenye Majimbo yao.

Ameyasema hayo kwenye Semina ya waliokuwa Wagombea Ubunge wa Chama hicho 2020, inayoendelea.

Chanzo: Mwananchi

Bali mimi nimewahi kuripoti habari hii hapa JF baada ya kunukuu kauli ya Mjumbe wa kamati kuu , ambaye pia ni mjumbe wa kamati ya Maridhiano John Heche, akizungumzia kuhusu jambo hili huko kanda ya ziwa.

CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE
 
Msituletee mavurugu yenu mkafikiri mtaangaliwa tu mtawajibishwa vizuri Sana maana nyie Ni matapeli Sana ,mnawadanganya watanzania waandamane huku nyie mkijuwa kuwa watoto wenu wanaishi marekani huko kwa Ruzuku na michango ya watanzania,yaani mlikuwa mnawachangisha Hadi wabunge wenu ili watoto wenu wakazitumbuearekani? Ndio maana Mbowe na Lissu kila Mara wanakwenda huko ili kutunisha akaunti za watoto wao huku nyie huku mkiswagwa na kupelekeshwa Kama wanyama wa kufugwa

Watanzania siyo wajinga na hawawezi kukubali ubabaishaji wenu na utapeli wenu wa kisiasa kwa watanzania.

Kwa Sasa mmepuuzwa na kila mwenye Akili Timamu
 
Msituletee mavurugu yenu mkafikiri mtaangaliwa tu mtawajibishwa vizuri Sana maana nyie Ni matapeli Sana ,mnawadanganya watanzania waandamane huku nyie mkijuwa kuwa watoto wenu wanaishi marekani huko kwa Ruzuku na michango ya watanzania,yaani mlikuwa m awachangisha Hadi wabunge wenu ili watoto wenu wakazitumbuearekani? Ndio maana Mbowe na Lisu kila Mara wanakwenda huko ili kutunisha akaunti za watoto wao huku nyie huku mkiswagwa na kupelekeshwa Kama wanyama wa kufugwa,. Watanzania siyo wajinga na hawawezi kukubali ubabaishaji wenu na utapeli wenu wa kisiasa kwa watanzania. Kwa Sasa mmepuuzwa na kila mwenye Akili Timamu
LGBT
 
Hiyo akili timamu umekuwa nayo tangu lini wewe msaka teuzi?
 
Back
Top Bottom