Kumekucha! CHADEMA yatangaza kuanza kwa mikutano ya hadhara Nchi nzima

Msituletee mavurugu yenu mkafikiri mtaangaliwa tu mtawajibishwa vizuri Sana maana nyie Ni matapeli Sana ,mnawadanganya watanzania waandamane huku nyie mkijuwa kuwa watoto wenu wanaishi marekani huko kwa Ruzuku na michango ya watanzania,yaani mlikuwa m awachangisha Hadi wabunge wenu ili watoto wenu wakazitumbuearekani? Ndio maana Mbowe na Lisu kila Mara wanakwenda huko ili kutunisha akaunti za watoto wao huku nyie huku mkiswagwa na kupelekeshwa Kama wanyama wa kufugwa,. Watanzania siyo wajinga na hawawezi kukubali ubabaishaji wenu na utapeli wenu wa kisiasa kwa watanzania. Kwa Sasa mmepuuzwa na kila mwenye Akili Timamu
Punguani mna akili gani ninyi?. Kuwageuza watanzania mazezeta, mmelewa uchawa mpaka Wazee wenu wana ropoka tu. Hii mikutano imechelewa sana, na watanzania wakikaa kimya mnaona wanawaunga mkono. Nonsense
 
Hii ndio Taarifa mpya iliyosambazwa na chama hicho leo 14/12/2022 kwa waandishi wa Habari.

Katibu Mkuu wa Chama hicho John Mnyika amewataka waliokuwa Wagombea Ubunge wa Chama hicho, kwenye kilichoitwa Uchaguzi Mkuu wa 2020 kuanza mara moja na kwa haraka sana Maandalizi ya Mikutano ya hadhara kwenye Majimbo yao.

Ameyasema hayo kwenye Semina ya waliokuwa Wagombea Ubunge wa Chama hicho 2020, inayoendelea.

Chanzo: Mwananchi

Bali mimi nimewahi kuripoti habari hii hapa JF baada ya kunukuu kauli ya Mjumbe wa kamati kuu , ambaye pia ni mjumbe wa kamati ya Maridhiano John Heche, akizungumzia kuhusu jambo hili huko kanda ya ziwa.

Mtukufu Moderator aliung'olea mbali uzi ule bila hata huruma, haijulikani alilenga nini.

CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE
SAWA kabisa.

Hata hivyo sioni kitakachoharibika iwapo Mwenyekiti bado anayo matumaini na mazungumzo ya maridhiano, aendelee; huku chama kikifanya shughuli zake bila pingamizi kutafuta Katiba Mpya

Ujinga utakuwa kuweka matumaini yote kwenye kapu moja la mazungumzo, huku CCM ikiendelea na shughuli zake nyingine.
 
Watoto wa Lisu na Mbowe ni raia wa Marekani, watakaopigwa mabomu ni watoto wa kajamba nani wa ufipa
Waache wenye akili wajadili.

Mabomu yapigwe, kwani umeambiwa kuna vita. Kama huelewi utofauti wa mkutano na mapambano ya kivita, basi wewe ni hasara kubwa hata kwa familia yako.

Usingekuwa na kimbelembele cha kuchangia, ingekusaidia kuficha upungufu wa akili ulio nao.
 
Msituletee mavurugu yenu mkafikiri mtaangaliwa tu mtawajibishwa vizuri Sana maana nyie Ni matapeli Sana ,mnawadanganya watanzania waandamane huku nyie mkijuwa kuwa watoto wenu wanaishi marekani huko kwa Ruzuku na michango ya watanzania,yaani mlikuwa m awachangisha Hadi wabunge wenu ili watoto wenu wakazitumbuearekani? Ndio maana Mbowe na Lisu kila Mara wanakwenda huko ili kutunisha akaunti za watoto wao huku nyie huku mkiswagwa na kupelekeshwa Kama wanyama wa kufugwa,. Watanzania siyo wajinga na hawawezi kukubali ubabaishaji wenu na utapeli wenu wa kisiasa kwa watanzania. Kwa Sasa mmepuuzwa na kila mwenye Akili Timamu
Crap from low brain.
 
Hii ndio Taarifa mpya iliyosambazwa na chama hicho leo 14/12/2022 kwa waandishi wa Habari.

Katibu Mkuu wa Chama hicho John Mnyika amewataka waliokuwa Wagombea Ubunge wa Chama hicho, kwenye kilichoitwa Uchaguzi Mkuu wa 2020 kuanza mara moja na kwa haraka sana Maandalizi ya Mikutano ya hadhara kwenye Majimbo yao.

Ameyasema hayo kwenye Semina ya waliokuwa Wagombea Ubunge wa Chama hicho 2020, inayoendelea.

Chanzo: Mwananchi

Bali mimi nimewahi kuripoti habari hii hapa JF baada ya kunukuu kauli ya Mjumbe wa kamati kuu , ambaye pia ni mjumbe wa kamati ya Maridhiano John Heche, akizungumzia kuhusu jambo hili huko kanda ya ziwa.

Mtukufu Moderator aliung'olea mbali uzi ule bila hata huruma, haijulikani alilenga nini.

CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE
Mungu Ibariki CHADEMA [emoji1545]
 
Kuna utaratibu wa kufanya hiyo mikutano na siyo kujitangaza tu utafikiri matangazo kirabuni
Wewe mbwiga kwani umetangaziwa wewe ? Wametangaziwa wahusika wewe kinakuwasha nini au unafikiri ndiyo utafikiriwa kwa uteuzi? Enzi za watu kupewa vyeo kwa kutukana wapinzani zimeshapitwa na wakati.
 
Mikutano Kwa ghalama ya nani? Tuchange au chama kinatoa pesa za mikutano.
Ulishachanga nini!?

Waache wanaotaka kuchanga wa change. Wewe endelea kutoa tozo. Hakuna shida. Usiwasemee wengine.
 
Watoto wa Lisu na Mbowe ni raia wa Marekani, watakaopigwa mabomu ni watoto wa kajamba nani wa ufipa
Unawaza mabomu tu. ukifikiria tupo chini utawala wa yule juha mwenzio MAGUFULI. Swala la mikutano ya kisiasalipo kwa mujibu wa sheria aliyelikataza na kulipiga marufuku hakuwa anajua lolote kuhusu sheria wala katiba. yeye alijua kukariri idadi ya samaki

Watu watapigwaje mabomu hapo? be wise kikaragosi wewe. Usichokijua ni kwamba viongozi wa kidemokrasia hulinda haki za watu wao.

TANZANIA HAIHITAJI VIONGOZI WANYAPARA NA WACHUNGA NG'OMBE
SAMIA HAPIGI WATU RISASI ITAKUWA MABOMU?
 
Msituletee mavurugu yenu mkafikiri mtaangaliwa tu mtawajibishwa vizuri Sana maana nyie Ni matapeli Sana ,mnawadanganya watanzania waandamane huku nyie mkijuwa kuwa watoto wenu wanaishi marekani huko kwa Ruzuku na michango ya watanzania,yaani mlikuwa mnawachangisha Hadi wabunge wenu ili watoto wenu wakazitumbuearekani? Ndio maana Mbowe na Lissu kila Mara wanakwenda huko ili kutunisha akaunti za watoto wao huku nyie huku mkiswagwa na kupelekeshwa Kama wanyama wa kufugwa

Watanzania siyo wajinga na hawawezi kukubali ubabaishaji wenu na utapeli wenu wa kisiasa kwa watanzania.

Kwa Sasa mmepuuzwa na kila mwenye Akili Timamu
Hujalazimishwa kuandamana. kenge mweusi wewe
 
Back
Top Bottom