Kumekucha! CHADEMA yatangaza kuanza kwa mikutano ya hadhara Nchi nzima

Hii ndio Taarifa mpya iliyosambazwa na chama hicho leo 14/12/2022 kwa waandishi wa Habari.

Katibu Mkuu wa Chama hicho John Mnyika amewataka waliokuwa Wagombea Ubunge wa Chama hicho, kwenye kilichoitwa Uchaguzi Mkuu wa 2020 kuanza mara moja na kwa haraka sana Maandalizi ya Mikutano ya hadhara kwenye Majimbo yao.

Ameyasema hayo kwenye Semina ya waliokuwa Wagombea Ubunge wa Chama hicho 2020, inayoendelea.

Chanzo: Mwananchi

Bali mimi nimewahi kuripoti habari hii hapa JF baada ya kunukuu kauli ya Mjumbe wa kamati kuu , ambaye pia ni mjumbe wa kamati ya Maridhiano John Heche, akizungumzia kuhusu jambo hili huko kanda ya ziwa.

Mtukufu Moderator aliung'olea mbali uzi ule bila hata huruma, haijulikani alilenga nini.

CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE
Weka video, ckuizi mmeanza kuleta Uzi kama yule JOHN BAPTIST
 
Msituletee mavurugu yenu mkafikiri mtaangaliwa tu mtawajibishwa vizuri Sana maana nyie Ni matapeli Sana ,mnawadanganya watanzania waandamane huku nyie mkijuwa kuwa watoto wenu wanaishi marekani huko kwa Ruzuku na michango ya watanzania,yaani mlikuwa mnawachangisha Hadi wabunge wenu ili watoto wenu wakazitumbuearekani? Ndio maana Mbowe na Lissu kila Mara wanakwenda huko ili kutunisha akaunti za watoto wao huku nyie huku mkiswagwa na kupelekeshwa Kama wanyama wa kufugwa

Watanzania siyo wajinga na hawawezi kukubali ubabaishaji wenu na utapeli wenu wa kisiasa kwa watanzania.

Kwa Sasa mmepuuzwa na kila mwenye Akili Timamu
ikitokea Samia anahutubia hapa na Lissu kule, watanzania wataenda wapi?
(Ondoa wale wanaoletwa na mabasi na kupewa posho, na wale wanafunzi wanaoambiwa wavae nguo za nyumbani waende kwa lazima na rollcall inafanywa)
 
Hii ndio Taarifa mpya iliyosambazwa na chama hicho leo 14/12/2022 kwa waandishi wa Habari.

Katibu Mkuu wa Chama hicho John Mnyika amewataka waliokuwa Wagombea Ubunge wa Chama hicho, kwenye kilichoitwa Uchaguzi Mkuu wa 2020 kuanza mara moja na kwa haraka sana Maandalizi ya Mikutano ya hadhara kwenye Majimbo yao.

Ameyasema hayo kwenye Semina ya waliokuwa Wagombea Ubunge wa Chama hicho 2020, inayoendelea.

Chanzo: Mwananchi

Bali mimi nimewahi kuripoti habari hii hapa JF baada ya kunukuu kauli ya Mjumbe wa kamati kuu , ambaye pia ni mjumbe wa kamati ya Maridhiano John Heche, akizungumzia kuhusu jambo hili huko kanda ya ziwa.

Mtukufu Moderator aliung'olea mbali uzi ule bila hata huruma, haijulikani alilenga nini.

CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE
Waache tu wajichanganye wafuliwe
 
Msituletee mavurugu yenu mkafikiri mtaangaliwa tu mtawajibishwa vizuri Sana maana nyie Ni matapeli Sana ,mnawadanganya watanzania waandamane huku nyie mkijuwa kuwa watoto wenu wanaishi marekani huko kwa Ruzuku na michango ya watanzania,yaani mlikuwa mnawachangisha Hadi wabunge wenu ili watoto wenu wakazitumbuearekani? Ndio maana Mbowe na Lissu kila Mara wanakwenda huko ili kutunisha akaunti za watoto wao huku nyie huku mkiswagwa na kupelekeshwa Kama wanyama wa kufugwa

Watanzania siyo wajinga na hawawezi kukubali ubabaishaji wenu na utapeli wenu wa kisiasa kwa watanzania.

Kwa Sasa mmepuuzwa na kila mwenye Akili Timamu
We jamaa siku ukilamba uteuzi uje utuambie sasa umevuna, kama mpaka mdaa huu hawajakuona basi Kaoge Baharini !!
 
Hii ndio Taarifa mpya iliyosambazwa na chama hicho leo 14/12/2022 kwa waandishi wa Habari.

Katibu Mkuu wa Chama hicho John Mnyika amewataka waliokuwa Wagombea Ubunge wa Chama hicho, kwenye kilichoitwa Uchaguzi Mkuu wa 2020 kuanza mara moja na kwa haraka sana Maandalizi ya Mikutano ya hadhara kwenye Majimbo yao.

Ameyasema hayo kwenye Semina ya waliokuwa Wagombea Ubunge wa Chama hicho 2020, inayoendelea.

Chanzo: Mwananchi

Bali mimi nimewahi kuripoti habari hii hapa JF baada ya kunukuu kauli ya Mjumbe wa kamati kuu , ambaye pia ni mjumbe wa kamati ya Maridhiano John Heche, akizungumzia kuhusu jambo hili huko kanda ya ziwa.

Mtukufu Moderator aliung'olea mbali uzi ule bila hata huruma, haijulikani alilenga nini.

CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE
hao wanaoanza mikutano ni wale wanaomuunga mkono lissu au wanao muunga mkono mbowe?
 
Watoto wa Lisu na Mbowe ni raia wa Marekani, watakaopigwa mabomu ni watoto wa kajamba nani wa ufipa
Acha ubwege. Njaa imekushika mpaka matakoni halafu unaogopa kufa na unaogopa haki yako ya msingi? Sasa hii nchi ikiwa na mazuzu na mabwege Kama wewe itaendelea kweli au tutapata Marais mabwege na wehu Kama jpm tena
 
Watoto wa Lisu na Mbowe ni raia wa Marekani, watakaopigwa mabomu ni watoto wa kajamba nani wa ufipa
Huyu mgeni wenu hakukosea kabisaa kuwaita MAMBUZZI 🐮 🐮 😜
 
Attachments

  • 61ff2290-030f-455d-9e16-4df12f9b76ac.mp4
    4.6 MB
Back
Top Bottom