Msituletee mavurugu yenu mkafikiri mtaangaliwa tu mtawajibishwa vizuri Sana maana nyie Ni matapeli Sana ,mnawadanganya watanzania waandamane huku nyie mkijuwa kuwa watoto wenu wanaishi marekani huko kwa Ruzuku na michango ya watanzania,yaani mlikuwa mnawachangisha Hadi wabunge wenu ili watoto wenu wakazitumbuearekani? Ndio maana Mbowe na Lissu kila Mara wanakwenda huko ili kutunisha akaunti za watoto wao huku nyie huku mkiswagwa na kupelekeshwa Kama wanyama wa kufugwa
Watanzania siyo wajinga na hawawezi kukubali ubabaishaji wenu na utapeli wenu wa kisiasa kwa watanzania.
Kwa Sasa mmepuuzwa na kila mwenye Akili Timamu