Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Kuna gharama ipi kufanya mikutano ya hadhara ?Mikutano Kwa ghalama ya nani? Tuchange au chama kinatoa pesa za mikutano.
huna tofauti na maiti!Watoto wa Lisu na Mbowe ni raia wa Marekani, watakaopigwa mabomu ni watoto wa kajamba nani wa ufipa
HakikaHongereni sana. Ni haki yenu ya kikatiba.
Karibu mbarali ambako Kuna kata 20, vijiji 108 afu mbunge yupo mmoja. Unafikiri kwenye kata 20 atatumia baiskeli?Kuna gharama ipi kufanya mikutano ya hadhara ?
Chadema ni chama cha watuKaribu mbarali ambako Kuna kata 20, vijiji 108 afu mbunge yupo mmoja. Unafikiri kwenye kata 20 atatumia baiskeli?
Kama wewe na mumeo mnaogopa kupigwa kwa kudai haki zenu,tuachie sisi wanaume wenye kende mbili nzito.Watoto wa Lisu na Mbowe ni raia wa Marekani, watakaopigwa mabomu ni watoto wa kajamba nani wa ufipa
LGBTMsituletee mavurugu yenu mkafikiri mtaangaliwa tu mtawajibishwa vizuri Sana maana nyie Ni matapeli Sana ,mnawadanganya watanzania waandamane huku nyie mkijuwa kuwa watoto wenu wanaishi marekani huko kwa Ruzuku na michango ya watanzania,yaani mlikuwa m awachangisha Hadi wabunge wenu ili watoto wenu wakazitumbuearekani? Ndio maana Mbowe na Lisu kila Mara wanakwenda huko ili kutunisha akaunti za watoto wao huku nyie huku mkiswagwa na kupelekeshwa Kama wanyama wa kufugwa,. Watanzania siyo wajinga na hawawezi kukubali ubabaishaji wenu na utapeli wenu wa kisiasa kwa watanzania. Kwa Sasa mmepuuzwa na kila mwenye Akili Timamu
Hiyo akili timamu umekuwa nayo tangu lini wewe msaka teuzi?Msituletee mavurugu yenu mkafikiri mtaangaliwa tu mtawajibishwa vizuri Sana maana nyie Ni matapeli Sana ,mnawadanganya watanzania waandamane huku nyie mkijuwa kuwa watoto wenu wanaishi marekani huko kwa Ruzuku na michango ya watanzania,yaani mlikuwa m awachangisha Hadi wabunge wenu ili watoto wenu wakazitumbuearekani? Ndio maana Mbowe na Lisu kila Mara wanakwenda huko ili kutunisha akaunti za watoto wao huku nyie huku mkiswagwa na kupelekeshwa Kama wanyama wa kufugwa,. Watanzania siyo wajinga na hawawezi kukubali ubabaishaji wenu na utapeli wenu wa kisiasa kwa watanzania. Kwa Sasa mmepuuzwa na kila mwenye Akili Timamu