Nchi imefunguliwa.Kazi iendelee
Na Mimi nashangaa!Mbona kuna maeneo hayapo Inamaana maeneo hayo tu kwa Dar ndo yanashida ya maji?
Tutasaga meno kwa chupa.JPM alisema mtamkumbuka, mtamkumbuka tu... sio ombi! Pale samaki wenu watakapoanza kuoza kwa kukosa umeme wa mafriji, pale mtakapoanza kukosa maji ya kufanyia shughuli za kila siku...
Sasa hapo obei na masaki wanatumia mfumo tofauti??
Na Mimi nashanga!
Kumamake kwetu haiko hata mara moja...Mbona kuna maeneo hayapo Inamaana maeneo hayo tu kwa Dar ndo yanashida ya maji?
Bora kukosa Maji na umeme kuliko kutekana kidwanzi na mtu mmoja kujifanya ndio mungu mtu nchi nzima.JPM alisema mtamkumbuka, mtamkumbuka tu... sio ombi! Pale samaki wenu watakapoanza kuoza kwa kukosa umeme wa mafriji, pale mtakapoanza kukosa maji ya kufanyia shughuli za kila siku...
Sasa hapo obei na masaki wanatumia mfumo tofauti??
Vipi ulitekwa?Bora kukosa Maji na umeme kuliko kutekana kidwanzi na mtu mmoja kujifanya ndio mungu mtu nchi nzima.
CCM kwa uongo utawaweza.?Mbona kuna maeneo hayapo Inamaana maeneo hayo tu kwa Dar ndo yanashida ya maji?
Ndio, nilikuteka.Vp ulitekwa?
Eeh nchi inafunguliwa bwana toka kwa dhalimu jiwe 😅!Nchi imefunguliwa.