Kumekucha: DAWASA yatoa ratiba ya mgao wa maji Dar es Salaam

Kumekucha: DAWASA yatoa ratiba ya mgao wa maji Dar es Salaam

JPM alisema mtamkumbuka, mtamkumbuka tu... sio ombi! Pale samaki wenu watakapoanza kuoza kwa kukosa umeme wa mafriji, pale mtakapoanza kukosa maji ya kufanyia shughuli za kila siku...
Sasa hapo obei na masaki wanatumia mfumo tofauti??
Samaki kabla hawajaoza tutawala mkuu matumbo yapo.
 
Nilikuteka mara 3 na kukutorosha kutoka kwa mumeo.Nitakuteka Tena awamu hii ya 6.
Wewe si umesema kutekana tekana Mkuu Ndugu yangu, maana yake ulitekwa, sasa hao walio kutekana inawezekana walikufanya kitu kibaya.......... sana labda iinawezekana walitatua linda ndio maana, unaona bora mgao wa maji kuliko kutekana tekana.
 
Wewe si umesema kutekana tekana Mkuu Ndugu yangu, maana yake ulitekwa, sasa hao walio kutekana inawezekana walikufanya kitu kibaya.......... sana labda iinawezekana walitatua linda ndio maana, unaona bora mgao wa maji kuliko kutekana tekana.
Yaani naona Bora niendelee kukuteka, maana awamu ya 5 nimekuteka mara kadhaa. Hii awamu ya 6 nitakuteka mazima maana haiwezekaniki binti mzuri kama wewe afaidi yule mhuni tu.
 
Seriously?... By the way kila binadamu ana dhambi zake kutokuzijua haimaanishi yeye ni msafi sana. Sidhani Kama unaeza kuishi eneo ambalo maji yamekata almost wiki nzima halafu ukaongea eti nafuu. Hii nchi watu wengi maskini mkuu kuanza kununua maji dumu moja la lita 20 kwa buku inaumiza Sana.
Bora kukosa Maji na umeme kuliko kutekana kidwanzi na mtu mmoja kujifanya ndio mungu mtu nchi nzima.
 
Eeh nchi inafunguliwa bwana toka kwa dhalimu jiwe [emoji28]!!!

Dhalimu ambaye hajawahi kuwalaza gizani zaidi ya masaa 24 katika siku zote ambazo alikuwa madarakani! Maji hayakuwahi kukatika katika namna yeyote isioeleweka[emoji28]

“Sote tu watu wazima haina haja ya kufatiliana na kutumbuana kila mtu afanye majukumu yake kwa moyo”~Amiri jeshi

Ha ha ha ha ha ha! Wacha nifike mlimani nikajipooze na AC za umma kwanza[emoji28] hii joto ya huku uswahilini haifai!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani naona Bora niendelee kukuteka,maana awamu ya 5 nimekuteka mara kadhaa.Hii awamu ya 6 nitakuteka Mazima maana haiwezekaniki binti mzuri kama wewe afaidi yule mhuni tu.
Wewe mwenyewe umesema bora mgao wa maji kuliko kutekana tekana, manake kuna mashababi walikuteka na waka kuweka NDANI, Mkuu ndugu yangu. Sasa kitu umeongea mwenyewe halafu unakikataa, sio uungwana huo Mkuu ndugu yangu.
 
Rasmi sasa nchi imekuwa ya kibwege hata hatujali. Kwahiyo mamlaka ya maji imekaa na staff members wakaandaa hii takataka ndio iwe taarifa? Yaani hata robo ya maeneo ya Dar hawajataja, ni kwamba kumbe siku zote hawana ramani ya miundombinu na hawajui maeneo yote wanayohudumia.

Tangazo limeandaliwa na mwanafunzi wa darasa la nne.
 
Seriously?...by the way kila binadamu Ana dhambi zake kutokuzijua haimaanishi yeye Ni msafi Sana. Sidhani Kama unaeza kuishi eneo ambalo maji yamekata almost wiki nzima halafu ukaongea eti nafuu. Hii nchi watu wengi maskini mkuu kuanza kununua maji dumu moja la lita 20 kwa buku inaumiza Sana.
Tutatumia ndege zetu tulizonunua kwa matrilioni, kubeba hayo maji na kusambaza hayo maji kila mtaa Kwa hio usiwaze mkuu tutalinda legacy ya kiongozi wetu wa Africa kwa style hio mkuu.
 
Back
Top Bottom