Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeh nchi inafunguliwa bwana toka kwa dhalimu jiwe 😅!!!
Dhalimu ambaye hajawahi kuwalaza gizani zaidi ya masaa 24 katika siku zote ambazo alikuwa madarakani! Maji hayakuwahi kukatika katika namna yeyote isioeleweka😅
“Sote tu watu wazima haina haja ya kufatiliana na kutumbuana kila mtu afanye majukumu yake kwa moyo”~Amiri jeshi
Ha ha ha ha ha ha! Wacha nifike mlimani nikajipooze na AC za umma kwanza😅 hii joto ya huku uswahilini haifai!
Utoto tu ndio ulikufanya uongee ulichoongea. Unapoingia katika mijadala ya kikubwa jaribu kuset akili yako iwe ya kikubwa otherwise kaa kimya comment yako haina umuhimu mkubwa kiasi hicho.Niliwahi kukuteka awamu ya 5 Mara 3,Nataka nikuteke awamu hii ya 6 japo kiduchu tu.
Kiangazi kimeanza sasa? Kuna wakati wa JPM ilivuma kuwa nchi ina ukame na njaa, kina Zitto walikomalia, JPM alikataa akasema nchi haina njaa wala ukame, baada ya wiki chache wakina Zitto na genge pale wakakaa kimya na hakukua na njaa yoyote....Jpm angekuwa hai angefanya nini na maji yapatikane na hiki kiangazi kilichopo nchi nzima?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Dawasa wanacover Dar nzima??..Ukonga G/Mboto, Temeke, Mbagala, Kigamboni unadhani huko Dawasa wapo kwa ukubwa huo hadi watoe ratiba?..Rasmi sasa nchi imekuwa ya kibwege hata hatujali. Kwahiyo mamlaka ya maji imekaa na staff members wakaandaa hii takataka ndio iwe taarifa? Yani hata robo ya maeneo ya Dar hawajataja, ni kwamba kumbe siku zote hawana ramani ya miundombinu na hawajui maeneo yote wanayohudumia.
Tangazo limeandaliwa na mwanafunzi wa darasa la nne
Wewe.... Wewe.... Wewe kwa mara ya mwisho weweeeeeee. Hebu fungua macho wewe kijana. Kama unataka kujua hali ya maji nenda mto Ruvu kuanzia vyanzo vyake lakini pia nenda YouTube katazame video ambayo Magu aliwabamba jamaa wa idara ya maji ambao walimpa siri kuwa kuna hujuma ya kufungulia maji na kuyapunguza katika catchment area ili supply ishuke jamaa wauze hayo maji.Jpm angekuwa hai angefanya nini na maji yapatikane na hiki kiangazi kilichopo nchi nzima?
Sent using Jamii Forums mobile app
Elezea wapigaji wamesababisha vipi maji yakosekane??.. Sio ukame ndo umesababisha?Mimi nafurahi sababu walikuwa wanasema huyu magufuli ni mpigaji ngoja sasa wale ambao sio wapigaji wamerudi sasa ndo mtajua kuwa mlikuwa hamjui kitu.
MUNGU hebu waonyeshe walichokuwa wanakitaka.
TrueKiangazi kimeanza sasa? Kuna wakati wa jpm ilivuma kuwa nchi ina ukame na njaa, kina zito walikomalia, jpm alikataa akasema nchi haina njaa wala ukame, baada ya wiki chache wakina zito na genge pale wakakaa kimya na hakukua na njaa yoyote....
Sasa kumbe unaona kuwa ni jambo ambalo lina walakini. Na sisi tunazungumzia hao wakazi wachache kukosa maji.Kwani Dawasa wanacover Dar nzima??..Ukonga G/Mboto,Temeke,Mbagala,Kigamboni unadhani huko Dawasa wapo kwa ukubwa huo hadi watoe ratiba?..
Dar asilimia kubwa watu wanatumia maji ya visima walivyovichimba wenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unachopaswa kujua hata mvua za masika hazikunyesha za kueleweka mwezi March-May.. Kulikuwa hamna mvua kubwa kama miaka mingine.Kiangazi kimeanza sasa? Kuna wakati wa jpm ilivuma kuwa nchi ina ukame na njaa, kina zito walikomalia, jpm alikataa akasema nchi haina njaa wala ukame, baada ya wiki chache wakina zito na genge pale wakakaa kimya na hakukua na njaa yoyote....
Nimeshakuelezea kuwa kuna watendaji ambao hata kipindi cha Magufuli walitaka fanya huu mchezo sababu ya kuwa na masilahi na mgao wa maji. Wao wanatumia hii kitu kujinufaisha. Hilo lipo wazi. Ni kipi ambacho wewe kinakufanya uone mambo yapo sawa?!Elezea wapigaji wamesababisha vipi maji yakosekane??..sio ukame ndo umesababisha?..
Tulaumu CCM kwa kushindwa kuwa na vyanzo vingi vya maji vya uhakika na sio kudhani Rais ndo anafanya maji yasiwep kwa muda huu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kimebadilika Nini sasa maana sasa ni mwendo wa kupeana kesi za ugaidi kwenda mbele.Bora kukosa Maji na umeme kuliko kutekana kidwanzi na mtu mmoja kujifanya ndio mungu mtu nchi nzima.
mkuu karibu kigamboni dumu la maji ni 100 tu bombani, kuletewa kwako ndo bei inategemeana na eneoSeriously?... By the way kila binadamu ana dhambi zake kutokuzijua haimaanishi yeye ni msafi sana. Sidhani Kama unaeza kuishi eneo ambalo maji yamekata almost wiki nzima halafu ukaongea eti nafuu. Hii nchi watu wengi maskini mkuu kuanza kununua maji dumu moja la lita 20 kwa buku inaumiza Sana.
😥😥😥JPM alisema mtamkumbuka, mtamkumbuka tu... sio ombi! Pale samaki wenu watakapoanza kuoza kwa kukosa umeme wa mafriji, pale mtakapoanza kukosa maji ya kufanyia shughuli za kila siku...
Sasa hapo obei na masaki wanatumia mfumo tofauti??
Atekwe wapi basi ni story za mitandaoni tu ,maana hapo utafikiri alikuwa akiishi kimashaka kwa kuogopa kutekwa, kila awamu kuna visa vyake sikuona wakizungumza hivi kipindi cha Ulimboka.Vipi ulitekwa?
kuna jamaa kaoga maji ya mrefejini kapauka then ananukia kama chura
Wakulima wamepanda mbegu ziko ardhini nchi nzima hakuna mvua maji yatapatikana wapi ikiwa vyanzo vyetu tunategemea mito inayojaa baada ya mvua kunyesha nyingi?Nimesha kuelezea kuwa kuna watendaji ambao hata kipindi cha magufuli walitaka fanya huu mchezo sababu ya kuwa na masilahi na mgao wa maji. Wao wanatumia hii kitu kujinufaisha. Hilo lipo wazi. Ni kipi ambacho wewe kinakufanya uone mambo yapo saww?!
Watuhumiwa wenzake na Mbowe walikamatwa tangu Mwaka Jana mwezi wa 8,rais alikua Ni Nani?Mama anaendeleza legacy ya Shujaa wa Africa.Kimebadilika Nini sasa maana sasa ni mwendo wa kupeana kesi za ugaidi kwenda mbele.
2008 walikata umeme Zenji, kwa muda wa mwezi ivi, hahaHuu ndio muda wa kujipatia mambomba kwa bei rahisi tena wameweka 24 Hrs. Unatoa Bomba mpaka Ruvu na hakuna atakayejua...
Wazee ni kuyavumua tu