Polisi jamii
JF-Expert Member
- Mar 22, 2013
- 2,604
- 1,381
Wa Manzese, Tandale, Sinza hawapo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaMamlaka ya maji safi na maji taka Dar es Salaam imetangaza mgao wa maji jiji la Dar es Salaam kanda ya Kinondoni ili kupunguza kero kwenye maeneo yanayotajwa kuwa na msukumo mdogo. Katika ratiba hiyo wakaazi wa Masaki na Obey wameula, watapata maji saa 24 siku saba za wiki. Baadhi ya maeneo sijayaona kabisa pia tangazo halina mwanzo wala ukomo wa mgao.
Anyways tunawasubiri Tanesco nao watoe ratiba badala ya kwenda kimya kimya pia wasisahau majenereta ya IPTL, tuko tayari kuchangia akaunti ya Tegeta Escrow..
View attachment 2013747
Sasa huo ubora unaouzungumzia wewe ni upi? Kuna mambo yapo tu kila awamu ndio maana hata Ulimboka aliingia kwenye 18 za Kikwete.Watuhumiwa wenzake na Mbowe walikamatwa tangu Mwaka Jana mwezi wa 8,rais alikua Ni Nani?Mama anaendeleza legacy ya Shujaa wa Africa.
Maji yamepungua mto Ruvu hakuna cha Magufuli angekuwepo wala nini acheni kumfanya huyo mtu kama Mungu, ilitokea bahati nzuri katika kipindi chake halikutokea tatizo kama hili basi.Nimeshakuelezea kuwa kuna watendaji ambao hata kipindi cha Magufuli walitaka fanya huu mchezo sababu ya kuwa na masilahi na mgao wa maji. Wao wanatumia hii kitu kujinufaisha. Hilo lipo wazi. Ni kipi ambacho wewe kinakufanya uone mambo yapo sawa?!
Tutatumia ndege zetu tulizonunua kwa matrilioni,kubeba hayo maji na kusambaza hayo maji kila mtaa Kwa hio usiwaze mkuu tutalinda legacy ya kiongozi wetu wa Africa kwa style hio mkuu.
Kwa hio umepaniki unaanza kulia Lia Sasa sio? Wewe Ni wa kunifundisha Mimi? Eti deformation? Hio Ni Nini Sasa umeandika?😄😄😄😄Utoto tu ndio ulikufanya uongee ulichoongea. Unapoingia katika mijadala ya kikubwa jaribu kuset akili yako iwe ya kikubwa otherwise kaa kimya comment yako haina umuhimu mkubwa kiasi hicho.
Halafu usiwe unatuhumu watu kwa mambo ya kusikia kwa uvumi hata kama huyo mtu haumkubali au haumuelewi. Kuna jinai inaitwa deformation, kuvumisha mambo ambayo hayana viambatanishi vya ushahidi kumhusu mtu.
Unasema Magufuli aliteka watu na kuua, ukiambiwa ukasimame kizimbani kutestify against yeye unaweza kutoa maelezo gani kuhusu matukio yalivyyotokea?!
Learn to grow up.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Eeh nchi inafunguliwa bwana toka kwa dhalimu jiwe 😅!!!
Dhalimu ambaye hajawahi kuwalaza gizani zaidi ya masaa 24 katika siku zote ambazo alikuwa madarakani! Maji hayakuwahi kukatika katika namna yeyote isioeleweka😅
“Sote tu watu wazima haina haja ya kufatiliana na kutumbuana kila mtu afanye majukumu yake kwa moyo”~Amiri jeshi
Ha ha ha ha ha ha! Wacha nifike mlimani nikajipooze na AC za umma kwanza😅 hii joto ya huku uswahilini haifai!
😄😄 hebu tuwekee hapa alikuta Deni la nchi Ni kiasi gani na ameacha Deni la nchi Ni kiasi gani?Unaongea Nini mkuu, Sasa JPM ali-menage vp kununua ndege na kuhakikisha maji anasupply kwa uhakika? haya nyie ambao hamjanunua ndege vp??
Hamna mtu anajali khs sababu zao TUNATAKA MAJI, FULL STOP.Wakulima wamepanda mbegu ziko ardhini nchi nzima hakuna mvua maji yatapatikana wapi ikiwa vyanzo vyetu tunategemea mito inayojaa baada ya mvua kunyesha nyingi?
Sababu wanayotoa Dawasa kuwa kina cha mto Ruvu kimepungua ni uongo kwahiyo?..
Shida sisi wabongo wengi hatutumii akili,tunajadili vitu kishabiki shabiki tu..ilibidi tukubali hili swala limeletwa na ukame and then tuchachamae ni kwanini baada ya miaka 60 ya uhuru nchi haina maji ya uhakika kutoka vyanzo mbalimbali vya uhakika ambavyo hata mabadiliko ya tabia nchi yakitokea kutakuwa hakuna athari zozote kwenye upatikanaji wa maji.
😄😄 Kwani CCM kutekana Ni story mnayoishangaa?Ni kawaida yenu tu.Atekwe wapi si basi story za mitandaoni maana utafikiri alikuwa akiishi kimashaka kwa kuogopa kutekwa, kila awamu kuna visa vyake sikuona wakizungumza hivi kipindi cha Ulimboka.
Tulieni wakuu, nchi inafunguliwa...Mbona tunaopata huduma kutoka mtambo wa Ruvu juu hatuoni ratiba maana eneo nilipo leo ni siku ya nne mfululizo maji hayajatoka.
Ubora wa CCM utoke wapi? Tulieni mama anaponya nchi, Maji yatarudishwa 2030, umeme utarudi kwenye hali ya kawaida 2027 na Kama hamtaki andamaneni tuone, maana zilikua ndio lugha zenu Wana CCM enzi hizo za Shujaa wa Africa.Sasa huo ubora unaouzungumzia wewe ni upi? Kuna mambo yapo tu kila awamu ndio maana hata Ulimboka aliingia kwenye 18 za Kikwete.
Makamba kuingia pale na mitambo ya kusukuma maji kukosa nishati, posta imetamalaki kelele za majenereta...Hamna mtu anajali khs sbb zao TUNATAKA MAJI, FULL STOP.
Kama hawawezi waachie ngazi tupate watu wanaoweza kujiongeza na kuleta maji.
Enzi za jiwe watu tulikua tukilalamika kitu tunaambiwa andamaneni muone Cha Moto(tutawapiga kipigo Cha Mbwa koko-Rpc Mroto) na Mataga walikua wanafurahia saaaana.Hamna mtu anajali khs sbb zao TUNATAKA MAJI, FULL STOP.
Kama hawawezi waachie ngazi tupate watu wanaoweza kujiongeza na kuleta maji.
Miaka mingine hapakuwa na kiangazi? Mgao wa umeme unatokana na nini hasa? Kunasababu yeyote wakati mabwawa yamejaa?JPM angekuwa hai angefanya nini na maji yapatikane na hiki kiangazi kilichopo nchi nzima?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe wanatekana ccm sasa wewe kinakuuma nini? kwani wewe ccm?😄😄 Kwani CCM kutekana Ni story mnayoishangaa?Ni kawaida yenu tu.
😄😄😄 andamaneni basi tuone, maana maji na umeme hali itaendelea hivi mpk 2030 na Cha kufanya hamna.Kumbe wanatekana ccm sasa wewe kinakuuma nini? kwani wewe ccm?
Huoni tu ubora wao inakuongoza hadi leo japo hutaki ila huna la kufanya tofauti na kubweka tu humu mitandaoni halafu bado unasema hauoni huo ubora wa ccm?Ubora wa CCM utoke wapi?Tulieni mama anaponya nchi,Maji yatarudishwa 2030,umeme utarudi kwny hali ya kawaida 2027 na Kama hamtaki andamaneni tuone, maana zilikua ndio lugha zenu Wana CCM enzi hizo za Shujaa wa Africa.
Unaongea kama nani? ndio maana unatekwa tekwa😄😄😄 andamaneni basi tuone, maana maji na umeme hali itaendelea hivi mpk 2030 na Cha kufanya hamna.