Utoto tu ndio ulikufanya uongee ulichoongea. Unapoingia katika mijadala ya kikubwa jaribu kuset akili yako iwe ya kikubwa otherwise kaa kimya comment yako haina umuhimu mkubwa kiasi hicho.
Halafu usiwe unatuhumu watu kwa mambo ya kusikia kwa uvumi hata kama huyo mtu haumkubali au haumuelewi. Kuna jinai inaitwa deformation, kuvumisha mambo ambayo hayana viambatanishi vya ushahidi kumhusu mtu.
Unasema Magufuli aliteka watu na kuua, ukiambiwa ukasimame kizimbani kutestify against yeye unaweza kutoa maelezo gani kuhusu matukio yalivyyotokea?!
Learn to grow up.