Kumekucha: DAWASA yatoa ratiba ya mgao wa maji Dar es Salaam

Kumekucha: DAWASA yatoa ratiba ya mgao wa maji Dar es Salaam

Siishi Masaki wala Oysterbay na sijawahi katiwa maji.
 
Kuna wilaya haziguswi na DAWASA kabisa wilaya ya Kigamboni, Ubungo, Temeke na Ukonga wao wamejizoelea kunywa maji ya madimbwi wanayojichimbia na Maji ya mvua.

Ukiwaangalia hata muonekano wa sura wanaotoka maeneo hayo yasiyo na ratiba wako tofauti na huko kwenye ratiba ya Dawasa sura zao zimekakamaa hasa

Ratiba haiwahusu
Sijapenda kabisa
 
Tutajifunza kurecyle mikojo na jasho kipindi hiki.

Hakika KAZI IENDELEE
 
Warioba juzi kasema ameanza kuona nchi ikirudi kwenye matabaka taratiiibuuu.

Jenerali ulimwengu naye akasema Hangaya haijui hii nchi,Hizo ni mvi zinaongea mimi nani niongee Zaid ya kuishia kuitwa Sukuma gang.

Haya mtupandishie na nauli tu kwenye daladala muendelee kufungua nchi
 
Kuna wilaya haziguswi na DAWASA kabisa wilaya ya Kigamboni, Ubungo, Temeke na Ukonga wao wamejizoelea kunywa maji ya madimbwi wanayojichimbia na Maji ya mvua.

Ukiwaangalia hata muonekano wa sura wanaotoka maeneo hayo yasiyo na ratiba wako tofauti na huko kwenye ratiba ya Dawasa sura zao zimekakamaa hasa

Ratiba haiwahusu
Duh

Ova
 
Mamlaka ya maji safi na maji taka Dar es Salaam imetangaza mgao wa maji jiji la Dar es Salaam kanda ya Kinondoni ili kupunguza kero kwenye maeneo yanayotajwa kuwa na msukumo mdogo. Katika ratiba hiyo wakaazi wa Masaki, Mikocheni na Obey wameula, watapata maji saa 24 siku saba za wiki. Baadhi ya maeneo sijayaona kabisa pia tangazo halina mwanzo wala ukomo wa mgao.

Anyways tunawasubiri Tanesco nao watoe ratiba badala ya kwenda kimya kimya pia wasisahau majenereta ya IPTL, tuko tayari kuchangia akaunti ya Tegeta Escrow..

Maisha sio mchezo, Joto kali, umeme hakunaa, maji nayo ya mgao
 
JPM alisema mtamkumbuka, mtamkumbuka tu... sio ombi! Pale samaki wenu watakapoanza kuoza kwa kukosa umeme wa mafriji, pale mtakapoanza kukosa maji ya kufanyia shughuli za kila siku...
Sasa hapo obei na masaki wanatumia mfumo tofauti??
Maji yamepungua ruvu,unataka serikali ikojoe maji!!?..maintanance haikufanyika wakati wa magu tanesco,waliogopa kutumbuliwa,mfumo umechakaa,hutaki wafanye maintanance!!?
 
Mamlaka ya maji safi na maji taka Dar es Salaam imetangaza mgao wa maji jiji la Dar es Salaam kanda ya Kinondoni ili kupunguza kero kwenye maeneo yanayotajwa kuwa na msukumo mdogo. Katika ratiba hiyo wakaazi wa Masaki, Mikocheni na Obey wameula, watapata maji saa 24 siku saba za wiki. Baadhi ya maeneo sijayaona kabisa pia tangazo halina mwanzo wala ukomo wa mgao.

Anyways tunawasubiri Tanesco nao watoe ratiba badala ya kwenda kimya kimya pia wasisahau majenereta ya IPTL, tuko tayari kuchangia akaunti ya Tegeta Escrow..

"Watanzania mna tabia ya kumkumbuka mtu akishafariki, na mimi nasema mtanikumbuka tena kwa mazuri na siyo mabaya" Siku hizi laana zinafika mapema sana Wakuu.
 
Attachments

  • ALISHASEMA MAGUFULI SIKU MOJA MTANIKUMBUKA...'R.I.P RAIS MAGUFULI 1959 -2021 (360p).mp4
    1.3 MB
Back
Top Bottom