Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Mungu amejibu maombi ya upinzani.Eeh nchi inafunguliwa bwana toka kwa dhalimu jiwe [emoji28]!!!
Dhalimu ambaye hajawahi kuwalaza gizani zaidi ya masaa 24 katika siku zote ambazo alikuwa madarakani! Maji hayakuwahi kukatika katika namna yeyote isioeleweka[emoji28]
“Sote tu watu wazima haina haja ya kufatiliana na kutumbuana kila mtu afanye majukumu yake kwa moyo”~Amiri jeshi
Ha ha ha ha ha ha! Wacha nifike mlimani nikajipooze na AC za umma kwanza[emoji28] hii joto ya huku uswahilini haifai!
Jiwe amekufa,Wapinzani wana amani sasa na wanakula bata,,nchi imefunguka.