Kumekucha: DAWASA yatoa ratiba ya mgao wa maji Dar es Salaam

Kumekucha: DAWASA yatoa ratiba ya mgao wa maji Dar es Salaam

Baba ako unajua Kwanini anavalishwa diaper Sasa hivi?Maza ako unajua Kwanini fistula inamsumbua?

Watajie jina langu watakwambia nilichowafanya mtoto mzuri.
Oya Jisome upya sasa umeongea nini?😂😂😂😂
 
Eeh nchi inafunguliwa bwana toka kwa dhalimu jiwe 😅!!!

Dhalimu ambaye hajawahi kuwalaza gizani zaidi ya masaa 24 katika siku zote ambazo alikuwa madarakani! Maji hayakuwahi kukatika katika namna yeyote isioeleweka😅

“Sote tu watu wazima haina haja ya kufatiliana na kutumbuana kila mtu afanye majukumu yake kwa moyo”~Amiri jeshi

Ha ha ha ha ha ha! Wacha nifike mlimani nikajipooze na AC za umma kwanza😅 hii joto ya huku uswahilini haifai!
Nenda baharini kajizimishe
 
Seriously?... By the way kila binadamu ana dhambi zake kutokuzijua haimaanishi yeye ni msafi sana. Sidhani Kama unaeza kuishi eneo ambalo maji yamekata almost wiki nzima halafu ukaongea eti nafuu. Hii nchi watu wengi maskini mkuu kuanza kununua maji dumu moja la lita 20 kwa buku inaumiza Sana.
Wakati wa jpm haya mamigao yalikuwepo ila hakukuwa na mtu mwenye ujasiri wa kusema.

Msimuone jpm kama alifanya ya maana, alikuwa hopeless tu aliweza tumia vyombo vya dola kunyamazisha wasema ukweli.
 
Naona huku uswahilini kwangu leo na sisi leo ndio zamu yetu baada ya kukaa siku nne bila maji tena yameanza kutoka mchana.
 
Wakati wa jpm haya mamigao yalikuwepo ila hakukuwa na mtu mwenye ujasiri wa kusema.

Msimuone jpm kama alifanya ya maana, alikuwa hopeless tu aliweza tumia vyombo vya dola kunyamazisha wasema ukweli.
Sawa aliwa wa nyamazisha wasema ukweli ila maji yalikuwa yana patikana.

Tatizo mnapenda kusimuliwa, ila mwisho wa siku legacy Magu ina lindwa na uhalisia ninepita kariakoo mida ya saa kumi na moja jioni ni kelele za majenereta mtindo mmoja nafika karibia na home naiona kirukuu imejaza madumu ya kutosha inakula vichwa nimechukua yangu matano, kwa buku 5 maisha yana endelea.

Ila ninacho shangaa sasa hivi hamja nyamazishwa, ila mgao wa maji na umeme kila kona, mwengine anakuja tn 1.5,ukimwambia akupe paragraph au hata page kutoka ktk repoti ya CAG hajui, ila ndio kalikuta huko nae kalibeba kama lilivyo, wewe maji zamani dumu 100,sasa hivi 1000 sijui huko mbele litakuwa kiasi gani.
 
Wewe si umesema kutekana tekana Mkuu Ndugu yangu, maana yake ulitekwa, sasa hao walio kutekana inawezekana walikufanya kitu kibaya.......... sana labda iinawezekana walitatua linda ndio maana, unaona bora mgao wa maji kuliko kutekana tekana.

Hahaha hii ngumi jiwe ulompiga tunaomba refa aingilie kati kumuokoa
 
Seriously?... By the way kila binadamu ana dhambi zake kutokuzijua haimaanishi yeye ni msafi sana. Sidhani Kama unaeza kuishi eneo ambalo maji yamekata almost wiki nzima halafu ukaongea eti nafuu. Hii nchi watu wengi maskini mkuu kuanza kununua maji dumu moja la lita 20 kwa buku inaumiza Sana.
Huyo jamaa atakua anaishi na kimba.. Huna maji kimba utaflashi vipi afu inasema bora kukosa maji
 
Wakupime mkojo wewe sio mzima..ukosefu wa maji unajua madhara yake wangapi wanaweza kufa?

Umetokea huko maporini,mlikua mnaenda kuchota maji km 15 huko,kutawaza mnajifuta kwa kutumia majani.Mbona haujafa mpk leo?
 
Huyo jamaa atakua anaishi na kimba.. Huna maji kimba utaflashi vipi afu inasema bora kukosa maji

Huko vijijini kwenu mlikua mkimaliza kunya si mlikua mnajifutia kwny majani?Kutembea na mavi ni jadi yenu.
 
Back
Top Bottom