Kumekucha: DAWASA yatoa ratiba ya mgao wa maji Dar es Salaam

Hayo umekariri tu,kwa jiwe alivyokua Nani angezima umeme kiboya!!?
 
Nauliza tena kwahiyo hakuna binadamu mwingine hapa Tanzania zaidi ya huyo Magufuli? Na kwakuwa ameshakufa tufanyeje au tumfufue?
 
JPM alisema mtamkumbuka, mtamkumbuka tu... sio ombi! Pale samaki wenu watakapoanza kuoza kwa kukosa umeme wa mafriji, pale mtakapoanza kukosa maji ya kufanyia shughuli za kila siku...
Sasa hapo obei na masaki wanatumia mfumo tofauti??
Hujui kama Obey, Masaki wanaishi tabaka tawala?!
 
JPM alisema mtamkumbuka, mtamkumbuka tu... sio ombi! Pale samaki wenu watakapoanza kuoza kwa kukosa umeme wa mafriji, pale mtakapoanza kukosa maji ya kufanyia shughuli za kila siku...
Sasa hapo obei na masaki wanatumia mfumo tofauti??
Hata tukimkumbuka haitasaidia kutatua hizi kero zinazotukabili. Dawa ni sisi kuamka sasa na kuikataa ccm pamoja na mfumo wake. Tudai katiba mpya
 
Hata tukimkumbuka haitasaidia kutatua hizi kero zinazotukabili. Dawa ni sisi kuamka sasa na kuikataa ccm pamoja na mfumo wake. Tudai katiba mpya

Kuamka wewe na nani? Sisi tumeridhika na Mama. Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Kuamka wewe na nani? Sisi tumeridhika na Mama. Au nasema uongo ndugu zangu?
Kweli kabisa, tulisharidhika.
We' re in the right track

Tumpe mama mitano tena afungue nchi.
Akomeshe mataga pia.
JPM alishasema ni Rais wa wanyonge walitukana kwamba hakuna wanyonge.

Mama aendelee kuinyosha nchi,akimaliza awamu zake ikiwezekana tumuongeze nyingine nyingi tu hadi atakapochoka.
 
Mimi nafurahi sababu walikuwa wanasema huyu Magufuli ni mpigaji ngoja sasa wale ambao sio wapigaji wamerudi sasa ndio mtajua kuwa mlikuwa hamjui kitu.

MUNGU hebu waonyeshe walichokuwa wanakitaka.
Hakika... Na bado umeme!
 
Na siye wa bunju vipi?! DAWASA ?!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…