MA
Magufuri alikuwa mkali, alikuwa acheki na kima kuanzia kwa Waziri Mpaka mkurugenzi,akina ambeye angejalibu kufanya mchezo hii, utawala wa Magufuri kupoteza kazi ilikuwa ni jambo la kawaida ukijaribu kuhezea Serikali,hivo watendaji wote kuanzia Mawaziri hadi Wakurugenzi walikuwa makini sana, ndio maana haukuweza kuona haya mambo katika utawala wa Magufuri,huyu wa Sasahivi alivyoingia tu kaanza kusafisha wote waliokuwa wasaidizi wa Magufuri, waliokuwa wakimpa tarifa, kaanza kupanga safu yake mpya matokeo yake ndio haya sasahivi,na bado Mpaka miaka 4 iishe kichwa kitakuwa kimewaka Moto.