Kumekucha DSTV, Mkurugenzi wa vipindi Maisha Magic Bongo na msaidizi wake wasimamishwa kwa rushwa!

Kwahiyo tuhalalishe rushwa?
 
Inaonekana hivi vipindi Nifah
Humwambi kitu [emoji1]

Ova
Nifah jitetee mwenyewe😂
Jamani mnanionea, hakuna hata moja ninayoijua! Mimi ni team Korean Dramas

Ofisini kuna wadada ndio wataalam sasa kutwa wanahadithiana na TV channel ndio hiyohiyo haibadilishwi hadi nikajikuta tu nazijua kwa majina.

Nyumbani nako wadada hawajatuacha salama! 🤣🤣🤣
 
A
Abuse of power....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…