Kumekucha: EFM Radio kuja na Muundo Mpya wa Kipindi kitakachokuwa Kinawazumgumzia Simba SC tu na siyo Wasiojua Wengine

Kumekucha: EFM Radio kuja na Muundo Mpya wa Kipindi kitakachokuwa Kinawazumgumzia Simba SC tu na siyo Wasiojua Wengine

Hahahahahhahahahhahhh , mechi za Simba na Yanga zikokaribia mara nyingi anakuwa kifungoni . Labda wa Yanga wanaofanya figisu.
hivi huwa ni kwanini? au asipokuwa banned ndiyo yanga sc ambayo ndiyo inayopendwa na huyo mod aliyempa ban inashinda?
 
Unazeeka vibaya Sana , imagine mtu Kama huyu around 40 anaandika ushuzi Kama huu
hapa unamzungumzia mumeo GENTAMYCINE aliye banned kwa sasa au mimi mumeo mpya unayejipendekeza kwangu Cognizant ( alias ) Think Tank and Adorable Angel?
 
hata mpirani mchezaji mzuri na mpambanaji kupewa ama kadi ya nja ou kutolewa kabisa nje kwa kadi nyekundu ni jambo la kawaida mno na labda tujiulize ni kwanini mimi, wewe, CAPO DELGADO, ukikaidi utapigwa2 na TUKANA UONE pamoja na kutopigwa ban hapa jamiiforums hatuna umaarufu na mvuto huo kama alionao yeye? au tumeshalaanika?
umaarufu unapimwaje ndugu Genta...mwana Lunyasi...
 
Cognizant ( Juha ) Think Tank la Matahira and Adorable for Mkunyubenga!


Jamaa anakuogopa sana Mkuu.
Wewe ndiye kiboko yake......

Anakuogopa kupita maelezo mkuu.
Naomba umsamehe.

Nahisi ataficha Ujuha wake.

🙏
 
hapa unamzungumzia mumeo GENTAMYCINE aliye banned kwa sasa au mimi mumeo mpya unayejipendekeza kwangu Cognizant ( alias ) Think Tank and Adorable Angel?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mzee wa multiple I'd

I wish I could be a moderator aise ningekupiga life ban kwa kila I'd
 
Nafikilia hapa.... !
Naona kama sio lahisi kuizungumzia simba bila ya yanga na yanga bila ya simba.
Mmoja kati ya hao akisema usinitaje kabisa hata nukta basi hiko kipindi kitakufa. labda basi kiwe kipindi cha kutangazia bei za jezi zao tu.
Kama ni kipindi cha kuegemea upande mmoja wa simba huku wakiwananga yanga hiyo sawa.
 
Kitu ambacho nimeki observe leo nimegundua jamaa anachukiwa sana hapa jukwaani. Ila yeye mala nyingi amekuwa anajiona anapendwa mno.

Sikujui anachukiwa kwasababu gani??????????

Tambo zake.
Uandishi.
Content za uandishi wake.
Matusi na lugha za kuudhi ama ni kitu gani?????.

Naomba wadau tumuweke wazi tumwambie Ukwelkindugu yetu anapo kosea...

Watu wamepokea Ban yake very positive.
 
Back
Top Bottom