Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Jikite kwenye ujumbe , hata Jumatatu imeandikwa J'tatu , hiyo hukuiona ?Taarifa rasmi ya Chama halafu mtu anaandika ,,Watz” ? Ni lini mtakuwa makini na kazi ninyi watu? Kwa nini asitulie na kuandika vizuri?
Jikite kwenye ujumbe
Jikite kwenye ujumbe
Hastahili kujibiwa muignooJikite kwenye ujumbe
Hi inaitwa ukikaa nchale ukisimama nchale kule lisu na zito huku pompeo na mbowe mninaaaa bado jf na insta mitaani usiseme daaaaah noma sana
Umeonae hakawii kwenda mloganzila kwa kushtukizaInabidi litafutwe tukio la kupoteza mwelekeo wa huo mkutano.
Safi Mbowe. Huwa namuelewa sana mbowe.
Taarifa rasmi ya Chama halafu mtu anaandika ,,Watz” ? Ni lini mtakuwa makini na kazi ninyi watu? Kwa nini asitulie na kuandika vizuri?
Marekani wanayo orodha ya watu zaidi ya 200upepo sio mzuri vijana wa kijani wameshapuliza kipenga cha kuanza kuuana jamani vijana kamateni majambia tuanze kuchapana
Karibu sana mkuuUlipotumia neno 'kuunguruma" nimekuja mbio kuja kuangalia kuwa nani..? nikafikiri Slaa karudi, Kumbe DJ.....Katika Genge lililobaki hakuna mwenye kuunguruma hapo...!
Huyo ana wasiwasi wanawe wanasoma Marekani!
Marekani haina shida na mabilionea wawekezajiHuyo ana wasiwasi wanawe wanasoma Marekani!