DuppyConqueror
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 9,466
- 6,966
Mbowe anaamini kuwa wamarekani watamsaidia kurudi bungeni 2021. Hawajui wazungu huyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe kila,za hiyo ni Tweeter Kuna limitation ya maneno.. subirini kesho maji yanazidi kuvurugwaTaarifa rasmi ya Chama halafu mtu anaandika ,,Watz” ? Ni lini mtakuwa makini na kazi ninyi watu? Kwa nini asitulie na kuandika vizuri?
Endelea kuwaza kwa kutumia makalioMbowe anaamini kuwa wamarekani watamsaidia kurudi bungeni 2021. Hawajui wazungu huyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Bilionea wa ruzuku!Marekani haina shida na mabilionea wawekezaji
hivi kuna mtu anafuatilia huo upuuzi ?Kesho tuko busy kufuatilia uapishwaji wa wateule wa Rais pamoja na hotuba ya Mh. Rais baada ya kuwapisha wateule wake. Hiko kijimkutano hakuna mwenye muda kukifuatilia, labda nyie wafia ufipa na familia zenu.
Mbowe anatembelea nyota ya Zitto!Ulipotumia neno 'kuunguruma" nimekuja mbio kuja kuangalia kuwa nani..? nikafikiri Slaa karudi, Kumbe DJ.....Katika Genge lililobaki hakuna mwenye kuunguruma hapo...!
Bilionea wa ruzuku!
Hivi kuna upuuzi zaidi ya huu wa kuongea na waandishi wa habari kila mara halafu hakuna manufaa ya hayo maongezi baada ya hapo, si upotevu wa muda tu.hivi kuna mtu anafuatilia huo upuuzi ?
wewe mlinda magari kwenye geti la lumumba utamjulia wapi Bilionea Mbowe ? Kwa faida yako na mbumbumbu wengine wa kiwango chako , Baba yake Freeman ndiye aliyempa nauli Mwl Nyerere kwenda UNO kudai uhuru wa Tanganyika , huu uhuru mnaoutumia kuteka na kuua watuBilionea wa ruzuku!
ndio utaelewa sasa hiyo kesho kudadeki !Hivi kuna upuuzi zaidi ya huu wa kuongea na waandishi wa habari kila mara halafu hakuna manufaa ya hayo maongezi baada ya hapo, si upotevu wa muda tu.
😆😆😆😆 Hiyo # Mwamba tuvushe ccm wakisikia wanakimbilia chooni#MWAMBA ANASIMAMA WIMA.
#MWAMBA TUVUSHE.
Mungu akusaidia tuu MkuuMm nawaonea huruma sana Chadema, wamekuwa vichwa havifikiri kabisa, Mbowe kawaloga nadhani
kama kuongea na BBC , FOX NEWS pamoja na CNN ndio kuloga basi uchawi udumuMm nawaonea huruma sana Chadema, wamekuwa vichwa havifikiri kabisa, Mbowe kawaloga nadhani
Anamjibu Sabaya maana huyo level yake SabayaJikite kwenye ujumbe , hata Jumatatu imeandikwa J'tatu , hiyo hukuiona ?
Inabidi litafutwe tukio la kupoteza mwelekeo wa huo mkutano.
Hao mapolisi nao wanapenda kutupiga fix......Taarifa za kiintelijensia zinaweza kupatikana asubuhi na mkutano ukazuiwa