This is just a twit it is not on hard paper abbreviations are allowedTaarifa rasmi ya Chama halafu mtu anaandika ,,Watz” ? Ni lini mtakuwa makini na kazi ninyi watu? Kwa nini asitulie na kuandika vizuri?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
This is just a twit it is not on hard paper abbreviations are allowedTaarifa rasmi ya Chama halafu mtu anaandika ,,Watz” ? Ni lini mtakuwa makini na kazi ninyi watu? Kwa nini asitulie na kuandika vizuri?
Hiyo ni page yake binafsi. Nenda kwenye official page ya chama ndio uulize hayo ukiyakuta.Taarifa rasmi ya Chama halafu mtu anaandika ,,Watz” ? Ni lini mtakuwa makini na kazi ninyi watu? Kwa nini asitulie na kuandika vizuri?
Katika viongozi wa dini walio alikwa kuna tetesi Mwaiposa (Bulldozer mwenzake) amemualika aombee uapishaji.Kesho tuko busy kufuatilia uapishwaji wa wateule wa Rais pamoja na hotuba ya Mh. Rais baada ya kuwapisha wateule wake. Hiko kijimkutano hakuna mwenye muda kukifuatilia, labda nyie wafia ufipa na familia zenu.
Kesho tuko busy kufuatilia uapishwaji wa wateule wa Rais pamoja na hotuba ya Mh. Rais baada ya kuwapisha wateule wake. Hiko kijimkutano hakuna mwenye muda kukifuatilia, labda nyie wafia ufipa na familia zenu.
Wewe uliyepata A+ katika History na kuwa na uwezo wa kufahamu hata majina ya watoto wa Carl Peters na yeye aliyezungusha yai shule lakini baada ya shule katika Business Administration(Practical) mtaani kagonga A++ nani genius?Alafu Form 6 kazungusha yai, bado anawamiliki wafuasi, sijui watapata zero wote haa
Wewe uliyepata A+ katika History na kuwa na uwezo wa kufahamu hata majina ya watoto wa Carl Peters na yeye aliyezungusha yai shule lakini baada ya shule katika Business Administration(Practical) mtaani kagonga A++ nani genius?
Baki na ubozi wako!
Sent using Jamii Forums mobile app
Amiri jeshi mkuu pia huandika vifupisho.Taarifa rasmi ya Chama halafu mtu anaandika ,,Watz” ? Ni lini mtakuwa makini na kazi ninyi watu? Kwa nini asitulie na kuandika vizuri?
Mbona unawewesekaTaarifa rasmi ya Chama halafu mtu anaandika ,,Watz” ? Ni lini mtakuwa makini na kazi ninyi watu? Kwa nini asitulie na kuandika vizuri?
ujumbe umeeleweka na ndio maana umeweza kuusoma. that is it.Taarifa rasmi ya Chama halafu mtu anaandika ,,Watz” ? Ni lini mtakuwa makini na kazi ninyi watu? Kwa nini asitulie na kuandika vizuri?
Mnawezaje hata kumlipa Mshahara mtu kama huyo?
ULI TAKA AZU NGUMZE NA WA KENYA?Taarifa rasmi ya Chama halafu mtu anaandika ,,Watz” ? Ni lini mtakuwa makini na kazi ninyi watu? Kwa nini asitulie na kuandika vizuri?
Nakutuma kama Mungu alivyomtuma Musa,nenda ukafikishe ujumbe wangu kwa Mbowe...hii ndyo saa ya ukombozi!Jikite kwenye ujumbe , hata Jumatatu imeandikwa J'tatu , hiyo hukuiona ?
Tusubiri ramli za inteliJINSIA ya PLCMM
we mchovu ulishafikia kiwango cha kuomba kazi kwa Magufuli huku jf hata sikushangai, una njaa, tafuta kazi ufanye, usipende kujipendekeza km mwanamke.Alafu Form 6 kazungusha yai, bado anawamiliki wafuasi, sijui watapata zero wote haa