Kumekucha: Freeman Mbowe kuunguruma , ataongea na Waandishi wa habari wa ndani na nje ya nchi

Kumekucha: Freeman Mbowe kuunguruma , ataongea na Waandishi wa habari wa ndani na nje ya nchi

Taarifa rasmi ya Chama halafu mtu anaandika ,,Watz” ? Ni lini mtakuwa makini na kazi ninyi watu? Kwa nini asitulie na kuandika vizuri?
Hiyo ni page yake binafsi. Nenda kwenye official page ya chama ndio uulize hayo ukiyakuta.
Page binafsi anauwezo wa kuandika "watu makini na mazwazwa" wanakaribishwa na hakuna wa kumhoji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aongelee upatikanaji wa tume huru ya uchaguzi na njia ya kufanya ili tuipate. Sioni kama jambo hilo kinazungumzwa kwa uzito wake.
 
Kesho tuko busy kufuatilia uapishwaji wa wateule wa Rais pamoja na hotuba ya Mh. Rais baada ya kuwapisha wateule wake. Hiko kijimkutano hakuna mwenye muda kukifuatilia, labda nyie wafia ufipa na familia zenu.
Katika viongozi wa dini walio alikwa kuna tetesi Mwaiposa (Bulldozer mwenzake) amemualika aombee uapishaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kesho tuko busy kufuatilia uapishwaji wa wateule wa Rais pamoja na hotuba ya Mh. Rais baada ya kuwapisha wateule wake. Hiko kijimkutano hakuna mwenye muda kukifuatilia, labda nyie wafia ufipa na familia zenu.

Uzuri sasa hivi hata rais naye anasikilizwa na wanaccm tu maana amejigeuza kuwa wa kiccm zaidi kuliko nchi.
 
Alafu Form 6 kazungusha yai, bado anawamiliki wafuasi, sijui watapata zero wote haa
Wewe uliyepata A+ katika History na kuwa na uwezo wa kufahamu hata majina ya watoto wa Carl Peters na yeye aliyezungusha yai shule lakini baada ya shule katika Business Administration(Practical) mtaani kagonga A++ nani genius?
Baki na ubozi wako!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesahau kunuwekea na A ya mauaji
Wewe uliyepata A+ katika History na kuwa na uwezo wa kufahamu hata majina ya watoto wa Carl Peters na yeye aliyezungusha yai shule lakini baada ya shule katika Business Administration(Practical) mtaani kagonga A++ nani genius?
Baki na ubozi wako!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taarifa rasmi ya Chama halafu mtu anaandika ,,Watz” ? Ni lini mtakuwa makini na kazi ninyi watu? Kwa nini asitulie na kuandika vizuri?
Amiri jeshi mkuu pia huandika vifupisho.
Acha kuleta ubishi usiokuwa na maana kila wakati.
Angalia namna 'Your' ilivyoandikwa na hii ni account rasmi ya Rais wa nchi. Ujumbe unamuendea kiongozi wa taifa lingine

Cc FaizaFoxy
 
Nyie hata ofisi tu imewashinda...mnajibana pale Mtei alipowaachia na sijui mnapeleka wapi ruzuku, wapi mnatunza nyaraka zenu za siri?? Hata pa kukaa mfanye kikao hamna duh
 
Anaenda kuwashauri CCM what to do kutokana na lile walilofanya marekani, but because sikio la kufa huwa halisikii dawa, yatampuuza, halafu taifa litaendelea kupata misukosuko sababu ya akili ndogo zinazotutawala.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nnahisi kama Mbowe anakwenda kumsaliti tena Zitto leo.
 
Alafu Form 6 kazungusha yai, bado anawamiliki wafuasi, sijui watapata zero wote haa
we mchovu ulishafikia kiwango cha kuomba kazi kwa Magufuli huku jf hata sikushangai, una njaa, tafuta kazi ufanye, usipende kujipendekeza km mwanamke.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom