Kumekucha huko DRC Wazalendo wapigana na FRDC

Kumekucha huko DRC Wazalendo wapigana na FRDC

imhotep

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
55,997
Reaction score
88,219
Jeshi la Kongo lime collapse na Wanamgambo wa Wazalendo wameanza kushambulia jeshi la Kongo huko Uvira.

Sasa hivi M23 wanaangalia tu kazi inafanywa na Wazalendo ambao wameshatuhumiwa kwa mauaji na ubakaji na ukiukwaji mkubwa wa haki za Binadamu dhidi ya Wananchi wa Kongo DRC

View: https://youtu.be/5yyEff_eMmQ?si=kc2oRueIwXqjAkh4
 
Tshisekedi anaanza kukataliwa na Wananchi wa DRC, kama huko Kisangani wananchi wanasema ameshindwa kuleta Amani kwahiyo wanataka aondoke.

Hii ni kwasababu alikuwa ana blame Rwanda kila siku na kukataa kuhudhuria mkutano muhimu wa Daresalaam badala yake amekimbilia mkutano wa Munich Germany halafu huko anaenda kumlaumu Rais mstaafu wa Kongo Joseph Kabila 😆😁
bagamoyo
 
View: https://youtu.be/4Ed2fhQX1ig?si=OyBF1qVE_HDtlN8l
Jeshi la Kongo lime collapse na Wanamgambo wa Wazalendo wameanza kushambulia jeshi la Kongo huko Uvira.

Sasa hivi M23 wanaangalia tu kazi inafanywa na Wazalendo ambao wameshatuhumiwa kwa mauaji na ubakaji na ukiukwaji mkubwa wa haki za Binadamu dhidi ya Wananchi wa Kongo DRC

Congo hawana jeshi, so divided, no umoja na wananchi wakiwa against you due to record zako umekwisha
 
Back
Top Bottom