nabiidaniel
JF-Expert Member
- Feb 25, 2014
- 1,937
- 2,678
Cc Aione Lucas mwashambwa kwenye faili.Moderators ukileta huo uzi fasta wanafuta. Vita vya mbali havipiganwi kirahisi kama watu wanavyofikilia.
Pili, watu wengine sio wajinga, vita huandaliwa. Hii unaweza ukakuta imesukwa miaka zaidi ya ishilini.
Wenzako wapo chini ya ulinzi wa M23, bendela nyeupe inapepea. Ina maana, siku wakiachiwa(kwa sasa ni mateka), siraha zote, magari ni mali ya M23. Labda itokee tu kwa huruma, silaha ulizokamata kutoka kwa uliyekuwa ukipigana nae, ni mali yako halali. Hapo nimeeleweka. Japo pia silaha nyingine, bado mpya na mifuko yake, zilikamatwa toka mikononi mwa JWTZ, kwa sasa zinatumiwa na M23.
Anyway Ni habari mbaya sana kwetu, Kama pia kambi ya SA Goma iko chini ya ulinzi, viongozi wa nchi wa majeshi yaliyotekwa inabidi yafanye play bargaining, kuokoa askari wao na sio kupigana na M23, kwa hio mrefu sa hizi anawakejeri.
Namfikiria mama flani wa Ukerewe, anavyoongea na mrefu, " Yaani baba ukituachia wanetu haturudii tena, na mikokoteni yako itapita mlangoni kwangu bila tozo mwaka mzima"