Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikiliza vizuri hii podcast utaelewa mgogoro unaelekea wapi.
View: https://youtu.be/B0xwusWhMRg?si=w7i0d-UCjYMvopZu
Hapo Mungu afanye nini zaidi!.?Congo inatakiwa kubadilika na Mungu aisaidie.
Hata huko tukipeleka vijana na watoto wetu, wanafaika ni kina nani??mnanufaikaj ?
Tupo kitambo. Sema mpokeaj wa hundi si Hazina!Tanzania nasi tuingie Congo tukachume..
Ilikuwa ni makosa sana kuanzisha Vikundi vya Civilians halafu unawapa silaha unawachanganya na FDLR ni kuzidi kucomplicate mambo badala ya kufanya mazungumzo.Wanajeshi wa FARDC waligawa silaha ovyo kwa kila raia wakidai wamewapa wazalendo ili raia hao wapambane na M23.
FARDC ukosefu wao wa nidhamu, uvutaji baji na uporaji umewafanya wasifahamu ubaya wa kugawa bunduki ovyo kwa wazalendo .
sw msiniambie mm Mtanzania nusuKwani lazima tukuambie?😁
umewai shirikishwa kweny mkataba hata mmoja wa uchimbaji hayo madini ?Kwa asilimia fulani Watanzania tunanufaika na Madini yetu.
Hizo ni propaganda za vyombo vya habari na wanahabari wa ulaya na marekani...Ndio maana nimeweka na hiyo Video na experts wote wa mambo ya Maziwa makuu wanasema Tshisekedi ana hali ngumu sana.
Shauri yako; hata ukiwa robo😎sw msiniambie mm Mtanzania nusu
Kamanda tupe za ndanindani "where we dare to talk openly"Walioingia unajua walipo lakini kwa sasa?
Moderators ukileta huo uzi fasta wanafuta. Vita vya mbali havipiganwi kirahisi kama watu wanavyofikilia.Kamanda tupe za ndanindani "where we dare to talk openly"