Kumekucha huko DRC Wazalendo wapigana na FRDC

Kumekucha huko DRC Wazalendo wapigana na FRDC

Wanajeshi wa FARDC waligawa silaha ovyo kwa kila raia wakidai wamewapa wazalendo ili raia hao wapambane na M23.

FARDC ukosefu wao wa nidhamu, uvutaji baji na uporaji umewafanya wasifahamu ubaya wa kugawa bunduki ovyo kwa wazalendo .
Mkata kiuno msanii unampa silahaa...wenzao m23 wamepikwa wakapikika

Ova
 
Ushauri wangu kwa Raisi wa Burundi ajitoe Kongo lakini auzatiti mpaka wa Burundi na Kongo.

Na yeye asiambukizwe tabia ya Tshisekedi ya kulaumu Kagame Wanyarwanda nk. kwenye kila kitu.
 
Jeshi la Kongo lime collapse na Wanamgambo wa Wazalendo wameanza kushambulia jeshi la Kongo huko Uvira.

Sasa hivi M23 wanaangalia tu kazi inafanywa na Wazalendo ambao wameshatuhumiwa kwa mauaji na ubakaji na ukiukwaji mkubwa wa haki za Binadamu dhidi ya Wananchi wa Kongo DRC

Hizo propaganda za mijizi kutoka ulaya na USA
 
Back
Top Bottom