Kumekucha huko DRC Wazalendo wapigana na FRDC

Wanajeshi wa FARDC waligawa silaha ovyo kwa kila raia wakidai wamewapa wazalendo ili raia hao wapambane na M23.

FARDC ukosefu wao wa nidhamu, uvutaji baji na uporaji umewafanya wasifahamu ubaya wa kugawa bunduki ovyo kwa wazalendo .
Mkata kiuno msanii unampa silahaa...wenzao m23 wamepikwa wakapikika

Ova
 
Ushauri wangu kwa Raisi wa Burundi ajitoe Kongo lakini auzatiti mpaka wa Burundi na Kongo.

Na yeye asiambukizwe tabia ya Tshisekedi ya kulaumu Kagame Wanyarwanda nk. kwenye kila kitu.
 
Hizo propaganda za mijizi kutoka ulaya na USA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…