Kumekucha huko Nigeria waendako Yanga SC kwa Picha ambayo Msemaji wa Rivers United FC aliyepigwa Rungu Utosini ameisambaza Mitandaoni

Hapa naona uharo
 
Yanga Wana zaidi ya miaka 40 wamekua walicheza CAF champion league yaani Leo ii ndio watishike na mikwara ya Rivers kweli? Ebu utendee haki ubongo wako.
Ishu sio kucheza tu anacheza na kufika wapi ndani ya hiyo miaka 40
 
Dah sema uliposema kwamba wanaweza kurudi wanarembua nimepata hofu kidogo. Kwahiyo wajomba wamejipanga kuwapakata Uto? 🐸🐸

Kwani Uto wanapeleka ile timu yao ya maprincess kupga show?
 
Wewe ndo una stress hulelewi hata ume andika nini
Fanya hivi vunga au sio!mind your stuff and I do mine ni kama naona huelewi ni hivi jamaa kasema wanaweza rudi wanarembua nami nkauliza kwahiyo unamanisha watapakatwa ni lini ulisikia mwanaume anarembua

Anyway if you can't catch up with me better get off my way cause I find it difficult to reason with people of your category
 
Ofcoz siwezi kua category moja na wewe unaeshadadia ushoga, watch out utapakwa mkwano
Sa ngapi sasa nimesema nashadadia ushoga kwani we kiswahili umeanza kusomeshwa lini mbona nimeuliza kwamba mwanaume kurembua kwako we ni sawa?

Hebu fanya hivi kama kiswahili shida sema lugha yoyote unayoweza labda nkueleze vizuri

Mind you unapoona napata muda wa kukueleza vizuri sio kwamba sijafundishwa matusi so try to show some respect. Disrespect me and I will show you how I deal with idiots
 
Bila picha hizo ni hekaya za hesopo
 
Wewe utakuwa shabiki wa Yanga unatafuta sababu ili mkifungwa useme mlihujumiwa😃. Kufungwa kuko palepale, sema tu hatujajua mtafungwa ngapi..ila kwakuwa mmekodisha ndege basi mna sehemu ya kutosha kubebea magoli mtakayopigwa..naona mmejiandaa kabisa na ndege ya kuyabebea😂
 
Uto unaeza ita utopolo wajiandae kuimba Jerusalema
 
Dear friend Rivers Utd the following UTOPOLO players has covid-19 Feisal salimu, mukoko Tonombe, Heritier makambo, kibwana shomari, Diarra, saido ntibanzokiza, mwamnyeto bakari, thanks in advance
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…