Kwahio umeweka na chopa hasaa ili uzi uvutie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bongo nyosoooKumbe umeshajijibu.Picha hazihusiani na matukio.Sasa bado unataka nini We Ayotollah?
Hii ni habari ya zamani,sasa Iran imewatuhumu Israel kuhusika:Iran has reported a electrical incident at the Natanz nuclear site, no casualties Iran reports electrical incident at Natanz nuclear site, no casualties
Ww kweli kichwa ngumuHii ni habari ya zamani,sasa Iran imewatuhumu Israel kuhusika:
source:IDHAA YA KISWAHILI | DW
Ww kweli kichwa ngumu
[emoji23] [emoji23] Kwani hio habari chanzo chake ni kutoka wapi? Alafu ulivyokua unapenda movies za Rambo ukatuletea chopa ili uwongo ukolee?? [emoji23]Wewe ndio kichwa kigumu,Ayotollah wahedi....Soma hapo chini:
Habari
HABARI ZA ULIMWENGU | 12.04.2021 | 10:00
Iran yaituhumu Israel imehusika kushambulia kinu chake cha Nantanz
Wizara ya mambo ya nje ya Iran imesema Israel inahusika na shambulizi dhidi ya mtambo wake wa kurutubisha madini ya Urani wa Nantanz na kuahidi kulipiza kisasi. Msemaji wa wizara hiyo Saeed Khatibzadeh akizungumza kwenye mkutano na waandishi habari amesema bila shaka Israel ilichukua hatua hiyo kujaribu kulipiza kisasi dhidi ya watu wa Iran kutokana na subira yao na mtazamo wao wa busara kuelekea suala la kuondolewa vikwazo vya Marekani. Kadhalika msemaji huyo wa Iran ameituhumu pia Israel japo sio moja kwa moja,kwamba inajaribu kuyavuruga mazungumzo yanayoendelea mjini Viena yakilenga kuyafufua makubaliano ya kimataifa ya kihistoria ya Nuklia. Shambulizi dhidi ya mtambo wa kurutubisha madini ya Urani wa Nantanz lilitokea jana Jumapili ikiwa ni siku moja baada ya Iran kusema imeanza kuongeza urutubishaji wa madini hayo katika mtambo wake huo
Yaaani unachukua uongo wa dw alaf unatuleta humuHii ni habari ya zamani,sasa Iran imewatuhumu Israel kuhusika:
source:IDHAA YA KISWAHILI | DW
Kwa hiyo wewe ndo msemaji wa iran?... Tuanzie hapo kwanzaMkuu, hivi wanaposema cyber attack inamaanisha nini? Sasa hapo chopper gunships zinahusika vipi, ingawa unasema picha haziusiani na matukio, sasa inazibanfika hapa ukiwa na lengo la ku-pre empty kitu gani? Mnapenda penda sana ku- exaggerated mambo hasa yanayo husu Israel na maadui zake.
Serikali ya Iran inasema kilicho tokea ni power outage kutokana na kuingiliwa kwa mfumo wa kuzalisha umeme wa kuendeshea mitambo yao, hii si mara ya kwanza mitambo ya Iran ya kuzalishia plutonium kuingiliwa na virus na kuisabibishia uharibifu.
Hapa naona magazeti pamoja na vyombo vya habari vingine vya huko Israel vinaweka chumvi mno, eti "uharibifu ulikuwa mkubwa mno kuliko Iran inavyo sema/kili!"
Binafsi naona hujuma hizo zimetekelezwa na Israel intel agents au Wairan wasaliti wanao lipwa na Israel kuhujumu efforts za Iran kizalisha plutonium,kumbuka Iran ina raia-wengi wenye asili ya Israel/Jews kama ilivyo Taifa la Urusi kuna Jews wengi tu.
Hujuma hii bila shaka imetekelezwa na Israel baada ya kukasirishwa na utawala wa Merikani/Biden kutaka kuwa na mazungumzo na Iran yenye lengo la kuiondolea Iran vikwazo vya kiuchumi kama Wairan watakubali ku-comply na mashariti ya kusitisha vinu vyake kuzalishaji weapon grade Plutonium.
Ni wazi Biden na utawala wake hawawezi kukubali kuwa blackmailed na Natenyahu ambaye ni Waziri Mkuu wa Israel anae g'ang'ania kwenye madaraka na anatamani sana majeshi ya USA na washirika wake kuishambulia Iran.
Mlikupa chanzo cha ALJAZEERA sijakuona kubisha[emoji23] [emoji23] Kwani hio habari chanzo chake ni kutoka wapi? Alafu ulivyokua unapenda movies za Rambo ukatuletea chopa ili uwongo ukolee?? [emoji23]
Mvaa kobaz hupooo? Sima iyo Linki hapo chini Natanz attack: Iran vows 'revenge' as foreign minister blames IsraelYaaani unachukua uongo wa dw alaf unatuleta humu
Umeshaambiwa ni shoti ya umeme kidogo na jamaa aliesababisha hivyo ameshakamatwa
#Iran #Israel #Natanz
An informed official in the Iran's Ministry of Intelligence:
The identity of the person who caused the power outage of one of the halls of Shahid Ahmadi-Roshan Natanz Enrichment Complex has been identified.
/1 [emoji23]
Na ngoma inaendelea kama kawaida yaani nonstop