Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama game ya PlayStation vile ukibonyeza X eee?Hakuna Cha Harmagedon.Ayotollahs wamewezekana.Israel Itakuwa inawasubiri wawekeze kwenye vinu vya nyuklia ikifikia stage fulani wanalipua!
#BREAKING | Iran announces it has reached 60% uranium enrichment https://t.co/bkJdpAuIzEHakuna Cha Harmagedon.Ayotollahs wamewezekana.Israel Itakuwa inawasubiri wawekeze kwenye vinu vya nyuklia ikifikia stage fulani wanalipua!
#Iran says its capable of enriching uranium with 90% purity Iran says it's capable of enriching uranium with 90% purityHakuna Cha Harmagedon.Ayotollahs wamewezekana.Israel Itakuwa inawasubiri wawekeze kwenye vinu vya nyuklia ikifikia stage fulani wanalipua!
Hivi kwanini Irani nayo isishambulie vinu vya nuclear vya Israel. Waache u-mama!Wewe ndio kichwa kigumu,Ayotollah wahedi....Soma hapo chini:
Habari
HABARI ZA ULIMWENGU | 12.04.2021 | 10:00
Iran yaituhumu Israel imehusika kushambulia kinu chake cha Nantanz
Wizara ya mambo ya nje ya Iran imesema Israel inahusika na shambulizi dhidi ya mtambo wake wa kurutubisha madini ya Urani wa Nantanz na kuahidi kulipiza kisasi. Msemaji wa wizara hiyo Saeed Khatibzadeh akizungumza kwenye mkutano na waandishi habari amesema bila shaka Israel ilichukua hatua hiyo kujaribu kulipiza kisasi dhidi ya watu wa Iran kutokana na subira yao na mtazamo wao wa busara kuelekea suala la kuondolewa vikwazo vya Marekani. Kadhalika msemaji huyo wa Iran ameituhumu pia Israel japo sio moja kwa moja,kwamba inajaribu kuyavuruga mazungumzo yanayoendelea mjini Viena yakilenga kuyafufua makubaliano ya kimataifa ya kihistoria ya Nuklia. Shambulizi dhidi ya mtambo wa kurutubisha madini ya Urani wa Nantanz lilitokea jana Jumapili ikiwa ni siku moja baada ya Iran kusema imeanza kuongeza urutubishaji wa madini hayo katika mtambo wake huo
Mkuu, naona hapa tatizo ni uelewa mdogo wa Kingereza hawajui vizuri maana ya power outage!!Yaaani unachukua uongo wa dw alaf unatuleta humu
Umeshaambiwa ni shoti ya umeme kidogo na jamaa aliesababisha hivyo ameshakamatwa
#Iran #Israel #Natanz
An informed official in the Iran's Ministry of Intelligence:
The identity of the person who caused the power outage of one of the halls of Shahid Ahmadi-Roshan Natanz Enrichment Complex has been identified.
/1 [emoji23]
Na ngoma inaendelea kama kawaida yaani nonstop
Kweli??? FYI Waajemi si binafamu wa kubezwa bezwa hata kidogo, je, unakumbuka vizuri Iran ilimwambia nini Trump alipo muua Jenerali wao, Wairan walisema watalipiza kisasi at ipportune time - na kweli walipokuwa tayari wakavurumisha makombora yao hatari yenye kulenga shabaha ya uhakika zikalipuwa makambi ya kijeshi ya Kimerikani nchini Iraq na viwanja vya kurukia ndege za kivita vikachajazwa - wanajeshi wa Merikani walikuwa wamejichimbia/jificha ndani ya mahandaki ya zege baada ya majenerali wa Merikani kutonywa na Kiongozi wa Iraq kuhusu ujio wa makombora ya Iran mapema asubuh, ndio maana wanajeshi wa Merikani wakimbilia kujificha mahandakini kama panya buku kwa kohofia mashambilizi ya makombora ya Iran.Hivi kwanini siku moja Israel wasilipue kasri la ayattolah ili iwe onyo kwa Iran