Kumekucha: Israel yashambulia kinu cha Nyuklia cha Iran

#BREAKING: #Iran informs IAEA it will start 60% uranium enrichment from tomorrow, to introduce 1,000 more centrifuges at #Natanz nuclear facility.
 
Nilimwambia Rais wa Iran aachane na mpango huu hasikii! mimi ndo huyo hapo kushoto mwa Netanyau nikmshauri afanye mazungumzo asimwage damu mwezi june, bahati mbaya picha imekataa.
 
Nilimwambia Rais wa Iran aachane na mpango huu hasikii! mimi ndo huyo hapo kushoto mwa Netanyau nikmshauri afanye mazungumzo asimwage damu mwezi june




bahati mbaya picha imekataa
The entire operation has been filmed and soon will be released.

You don't get to mess with Iran.
 
Hivi kwanini siku moja Israel wasilipue kasri la ayattolah ili iwe onyo kwa Iran
 
Israel uwezo wa kuifanyia Iran chochote mnao kwani Mungu siku zote atakuwa upande wenu kama maandiko yanavyosema (biblia).
Iran ni maneno mengi ila inapigika kirahisi tu.
 
[emoji23] [emoji23] Kwani hio habari chanzo chake ni kutoka wapi? Alafu ulivyokua unapenda movies za Rambo ukatuletea chopa ili uwongo ukolee?? [emoji23]

Aise nimecheka 🤣🤣🤣 wanavyoichukia iran mpaka wanaamua kupotosha uma. Midege yenyewe iyo ni apache kama sikosei vita ya iraq hiyo, jamaa akaamua atuingize mjini 🤣🤣
 
Israel uwezo wa kuifanyia Iran chochote mnao kwani Mungu siku zote atakuwa upande wenu kama maandiko yanavyosema (biblia).
Iran ni maneno mengi ila inapigika kirahisi tu.

Biblia ipi iyo mkuu pilipili kichaa? Agano la kale au hili jipya lililoanzishwa?
 
Mkuu umesikia kaimu rais wa marekani amesema Iran kamwe haitamiliki Nuclear
 
Cyber war ni tofauti na conventional war.

Marekani kila kukicha anapigwa na blames kwa China na Russia. Kuna wakati ni ngumu Sana kumjua real enemies.
 
Aise nimecheka [emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanavyoichukia iran mpaka wanaamua kupotosha uma. Midege yenyewe iyo ni apache kama sikosei vita ya iraq hiyo, jamaa akaamua atuingize mjini [emoji1787][emoji1787]
Hivi kea Nini Iran hajawahi kufua dafu kwa Israel katika nyanja yoyote?
 
Iran walalamika Israel Ndio wahusika wa shambulio:
 
Hivi kea Nini Iran hajawahi kufua dafu kwa Israel katika nyanja yoyote?
Iran kelele mingi hawana lolote.Wameficha vinu vya nyuklia mita 50 chini ya ardhi kuzuia mashambulizi ya ndege, Israel wamekuja kitofauti,wametumia "Cyber Attack!"🤣
 
Nimeisikia iran ikilalamika sana na kudai italipa kisasi.
Kumbe wanaweza kushambuliwa kindezindezi hivi na mikwala yao ni bure kabisa kwa Israel.
Umeshawai kuskia kuna msemaji wa Israel?
Jamaa wanatoa kitu, wanaweka kitu kimya kimya ukaomba poo mwenyewe.
Wale Palestina pembeni pao pale wako kimya mpaka leo,
Ndio walikufa wazee,wamama na watoto which its not right.
Sasa kama mnakaa na magaidi Waisrael hawakuchagua walikua wanapiga rada then kitu mulemule.
Kile kinu cha nuclear na bandari kule Lebanon walitandika na wakaondoka kimya kimya.
Waliumia raia jirani.
Hawa watu mbinu zao za kivita hamna anaeweza.
Arafat, Saddam Hussein,,Osamma na Huyu muiran Sijui sulemani wa hezbollar aliyetandikwa akitoka Airport ni wahanga wa Hawa Jamaa,
Mmarekani anamtuma tu Muisrael na kumpa chake.
wakitumwa wanapewa chao wanamaliza na kukabidhi.
Hawaongei sana.
Putin ugomvi wake mkubwa na US ni kwamba anawalea hao watu,
ila Putin hawezi wala hata kuongea na Waisrael wale kina Netanyahu anajua wakiamua wanammwaga kinyesi hadharani kimyakimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…