joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Nyie subirini rejected material kutoka Vipers, maana wamesafisha wachezaji tisa vijana wa Robertinho. Wachezaji wazuri kwenu wanakuja kama wakala wakusimamia uchaguzi au kusimamia mikutano kama Manzoki alafu mkasajiliwa wakina Sawadogo.Unamzungumzia attoulah yao,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kashasign simba.