Kumekucha Jangwani, Lomalisa apeleka Ombi la Kuvunja Mkataba

Kumekucha Jangwani, Lomalisa apeleka Ombi la Kuvunja Mkataba

vile tu Simba msimu huu kikosi kimekosa ushindani ila Kibu huyu sio wa kupata number pale Simba
Kibu katika ubora wake na utulivu hata EPL anacheza na hapa niko serious.
 
Kama viongozi wetu hawakutegemea hili watakua wapumbavu sana, club kufika pale wachezaji wengi wameonekana na watapewa ofa nyingi mezani, na mpira ni pesa, wengi huku umri umeenda Cha msingi mchezaji anataka avune kingi kabla hajastaafu, hata akijifanya siku akiachana na yanga hatakuja jangwani kuomba ugali wa watoto wake


Cha msingi kama ofa zinalipa wavute mkwanja waingie sokoni kununua wachezaji Bora pia, maana tumetengeneza profile Kuna wachezaji wataona farahi pia kujiunga na sisi

Maisha yaendelee
Case closed.
 
[emoji599] EXCL: Mabosi wa Yanga wamepigwa na butwaa, baada ya beki Joyce Lomalisa [emoji1078] kupeleka maombi ya kuvunja mkataba. Inaelezwa mezani kwa Lomalisa kuna ofa kubwa ikiwamo ya Azam FC, lakini pia ofa kutoka Morocco klabu ya RS Berkane.

View attachment 2658883
Kumbe jina la kwanza ni Joyce!! Wazazibar tuwe makini na majina tunayowapa watoto wetu.
 
Huwezi kua na wachezaji wazuri kama wale wa Yanga, alafu teams nyingine zikaacha kuwatamani. Anaemtaka Lomalisa, aje mezani tuzungumze!

Kuna wale walikua wanalilia tuzo, vipi wachezaji wao hakuna hata mmoja anaetamaniwa kusajiliwa na team nyingine?

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hatutaki matangazo..na kwanza wengina tuna kazi nao..mikataba bado mibiichi
 
Kimsingi, sasa kuna blogs na pages mbalimbali za michezo na ili wawe na followers wengi huku mtandaoni huleta taharuki za namna hiyo. Kwa sasa hapa Tz na nje ya TZ nimemwona jamaa mmoja anajitahidi Micky Jr huko mtandaoni ili page yako itrend na kiwa na followers wengi ni lazima uongelee sajili na lazima uzihusishe Simba, Yanga na Azam japo Mawakala nao wanazotumia hizo pages na majukwaa mbalimbali kuwa "brand" wateja wao.
 
Ukiona nyumbani kwako una mabinti na wamefikia umri wa kuolewa lakini husikii wala huoni vijana wakirandaranda usiku kwenye kuta za nyumba yako fahamu fika kwamba umezaa ndugu yake na Wasira! Kwa kifupi mabintizo hawana mvuto, yaani siyo wife materials!
 
Back
Top Bottom