Kumekucha Jangwani, Lomalisa apeleka Ombi la Kuvunja Mkataba

Kumekucha Jangwani, Lomalisa apeleka Ombi la Kuvunja Mkataba

Kwani hawa unafikiri wanatamaniwa? Hawa wanachukuliwa na Nabi mwenyewe ndiyo maana hausikii timu nyingine yoyote ikitajwa kuwataka.

Bila kusimama imara, Simba ilikuwa iwapoteze Inonga, Kibu na hata Robertinho kwa giants wa Kaskazini.
Kaka acha kuchekesha watu kibu huyuhuyu ? Hivi timu gani wamchukue inonga ikiwa hata kwao kongo hawana imani nae kwenye kuanza timu ya taifa?
 
Kaka acha kuchekesha watu kibu huyuhuyu ? Hivi timu gani wamchukue inonga ikiwa hata kwao kongo hawana imani nae kwenye kuanza timu ya taifa?
Ndo nakwambia sasa. Kwani timu ya taifa nini, kwani Mayele ana uhakika wa kuanza timu ya taifa? Mbona ni tegemeo kwa Yanga?
 
Kwani hawa unafikiri wanatamaniwa? Hawa wanachukuliwa na Nabi mwenyewe ndiyo maana hausikii timu nyingine yoyote ikitajwa kuwataka.

Bila kusimama imara, Simba ilikuwa iwapoteze Inonga, Kibu na hata Robertinho kwa giants wa Kaskazini.
Hapo kwa Kibu ni uongo
 
Mimi binafsi si shabiki wa Yanga lakini natamani Yanga iwe na kikosi imara zaidi ili Simba tuwe na mshindani bora. Tukisubiri kikosi cha Yanga kiporomoke ndo tuchukue ubugwa au tuonekane bora zaidi yao tutakuwa tumelogwa. Soka la Tanzania linahitaji kukua
 
Sema kimeumana. Ila watu wako kibiashara kweli yaani hata pilau hawajalinya washaanza kisambaratika kama msibani duh
 
Sio lazima anayemtaka aje mezani. Mchezaji mwenyewe ameshakuja mezani, maana mlisema Feisal hataki kuja mezani. Lomalisa amekuja, anataka kuwa huru. Baada ya kuwa huru ataamua aendelee kucheza soka, aimbe muziki au afanye biashara. Hilo haliwahusu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tuone kwa huyu mgeni, itakuajee.
 
Mimi nilidhani ana waniwa.

Kumbe ametumaa barua ya maombi ya "KUVUNJA" mkataba wake.

[emoji23][emoji23]
Ametuma maombi ya kuvunja mkataba wake. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani hawa unafikiri wanatamaniwa? Hawa wanachukuliwa na Nabi mwenyewe ndiyo maana hausikii timu nyingine yoyote ikitajwa kuwataka.

Bila kusimama imara, Simba ilikuwa iwapoteze Inonga, Kibu na hata Robertinho kwa giants wa Kaskazini.

Hii coment yako ilitakiwa iwe kwenye ule uzi wa vichekesho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndo ukweriii. Waulize wanaojua, msichukulie watu poa.

Tuache braahhh braahhh Kibu timu gani kubwa inayo mtaka? Kwa kiwango gani alichoonesha msimu huu kumfunga yanga au ?

Inonga ni bek mzuri ila tim kubwa kukuona na kukuitaji lazma ufike mbal lazma uisaidie tim yako kufka mbal … inonga anaweza kuwa n bek mzur ila kwa msimu huu kuna mabek wa yanga ambao wanazidiwa ubora na inonga ila wakawa wamemzid thaman kwenye soko la wachezaj sababu wamejiuza sana
 
Back
Top Bottom