Kumekucha Jangwani, Lomalisa apeleka Ombi la Kuvunja Mkataba

Unamzungumzia attoulah yao,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kashasign simba.
Nyie subirini rejected material kutoka Vipers, maana wamesafisha wachezaji tisa vijana wa Robertinho. Wachezaji wazuri kwenu wanakuja kama wakala wakusimamia uchaguzi au kusimamia mikutano kama Manzoki alafu mkasajiliwa wakina Sawadogo.
 
Mbn jibu litakua jepesi anaemtaka aje mezani
Sio lazima anayemtaka aje mezani. Mchezaji mwenyewe ameshakuja mezani, maana mlisema Feisal hataki kuja mezani. Lomalisa amekuja, anataka kuwa huru. Baada ya kuwa huru ataamua aendelee kucheza soka, aimbe muziki au afanye biashara. Hilo haliwahusu
 
Nyie subirini rejected material kutoka Vipers, maana wamesafisha wachezaji tisa vijana wa Robertinho. Wachezaji wazuri kwenu wanakuja kama wakala wakusimamia uchaguzi au kusimamia mikutano kama Manzoki alafu mkasajiliwa wakina Sawadogo.
Mzee, mada iliyopo mezani ni Lomalisa, mbona kupanic hivyoo 😁😁😁
 
Reactions: Tui
Mzee, mada iliyopo mezani ni Lomalisa, mbona kupanic hivyoo 😁😁😁
Nani kapanic wakati sijakujibu ww. Angalia comment yangu ya kwanza,huyo mwengine kajibiwa kutokana alivyokuja.Au na ww ni Kolo FC.
 
Hao wakongo wote wa mkopo. Mawakala wao wanasikilizia, thamani yao ikipanda tu wanawachomoa.
Lomalisa mkataba haujaisha
Mayele mkataba haujaisha

Yanga ikiwauza itapata ela za kununua wengine bora na vilevile Ina Haki ya kukataa ofa Kama ni ndogo .
Ila hasara yake mkataba wao ukiisha kama hawakuongeza wataondoka bure
 
Nyie subirini rejected material kutoka Vipers, maana wamesafisha wachezaji tisa vijana wa Robertinho. Wachezaji wazuri kwenu wanakuja kama wakala wakusimamia uchaguzi au kusimamia mikutano kama Manzoki alafu mkasajiliwa wakina Sawadogo.
Nilichoka baada ya. Kusikia wamesajili striker kutokaa RWANDA.
 
Lomalisa mkataba haujaisha
Mayele mkataba haujaisha

Yanga ikiwauza itapata ela za kununua wengine bora na vilevile Ina Haki ya kukataa ofa Kama ni ndogo .
Ila hasara yake mkataba wao ukiisha kama hawakuongeza wataondoka bure
Umetumia Lugha ngumu sana, Ukizingatiaa vichwa vyao vilivyokuwa vizito mithili ya "MBUMBUMBU"..

Sidhani kama wataweza kung'amia maana na tafasiri iliyo jadidi ndani yake.

[emoji23][emoji23]
 
Ule uchawi mlokua mnatuambia tunawachawia sasa ndo umekolea..atabaki mwamnyeto tuu..
Huwezi kua na wachezaji wazuri kama wale wa Yanga, alafu teams nyingine zikaacha kuwatamani. Anaemtaka Lomalisa, aje mezani tuzungumze!

Kuna wale walikua wanalilia tuzo, vipi wachezaji wao hakuna hata mmoja anaetamaniwa kusajiliwa na team nyingine?

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Kwani hawa unafikiri wanatamaniwa? Hawa wanachukuliwa na Nabi mwenyewe ndiyo maana hausikii timu nyingine yoyote ikitajwa kuwataka.

Bila kusimama imara, Simba ilikuwa iwapoteze Inonga, Kibu na hata Robertinho kwa giants wa Kaskazini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…