Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 4,385
- 6,443
Isije yakawa ya doumbiaWamwache aende tu kuna beki moja ya Asec Mimosa ipo vizuri, ikiwezekana watuletee.
Kaka acha kuchekesha watu kibu huyuhuyu ? Hivi timu gani wamchukue inonga ikiwa hata kwao kongo hawana imani nae kwenye kuanza timu ya taifa?Kwani hawa unafikiri wanatamaniwa? Hawa wanachukuliwa na Nabi mwenyewe ndiyo maana hausikii timu nyingine yoyote ikitajwa kuwataka.
Bila kusimama imara, Simba ilikuwa iwapoteze Inonga, Kibu na hata Robertinho kwa giants wa Kaskazini.
Doumbia sijawahi kumuona,ila huyo dogo nimemuona mechi tatu sina wasiwasi na kiwango chake.Isije yakawa ya doumbia
Ndo nakwambia sasa. Kwani timu ya taifa nini, kwani Mayele ana uhakika wa kuanza timu ya taifa? Mbona ni tegemeo kwa Yanga?Kaka acha kuchekesha watu kibu huyuhuyu ? Hivi timu gani wamchukue inonga ikiwa hata kwao kongo hawana imani nae kwenye kuanza timu ya taifa?
Hapo kwa Kibu ni uongoKwani hawa unafikiri wanatamaniwa? Hawa wanachukuliwa na Nabi mwenyewe ndiyo maana hausikii timu nyingine yoyote ikitajwa kuwataka.
Bila kusimama imara, Simba ilikuwa iwapoteze Inonga, Kibu na hata Robertinho kwa giants wa Kaskazini.
Kibu mnamchukulia poa sana 🤣😂🤣Hapo kwa Kibu ni uongo
Sio kusepa wakuu. Hao wameonekana baada ya timu kufika juu zaidi.. that's what make us happier. Yanga ni sehem ya kupiga hatua Kwa sasa.Ata utamu wa parade aujaisha watu wameshaanza kusepa
Wakikujibu nishtueMbna mabeki wanaosifika kuwa na assist nyng hawana ofa?
Anajibu anaacha kucheza, anahitaji kusimamia biashara zakeMbn jibu litakua jepesi anaemtaka aje mezani
Inonga???Kaka acha kuchekesha watu kibu huyuhuyu ? Hivi timu gani wamchukue inonga ikiwa hata kwao kongo hawana imani nae kwenye kuanza timu ya taifa?
Mi mwenyewe nashangaa anahoji ubora wa Inonga. Zola wa Wydad na Inonga wana tofauti gani kiuchezaji?Inonga???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tuone kwa huyu mgeni, itakuajee.Sio lazima anayemtaka aje mezani. Mchezaji mwenyewe ameshakuja mezani, maana mlisema Feisal hataki kuja mezani. Lomalisa amekuja, anataka kuwa huru. Baada ya kuwa huru ataamua aendelee kucheza soka, aimbe muziki au afanye biashara. Hilo haliwahusu
Ametuma maombi ya kuvunja mkataba wake. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nilidhani ana waniwa.
Kumbe ametumaa barua ya maombi ya "KUVUNJA" mkataba wake.
[emoji23][emoji23]
Kwani hawa unafikiri wanatamaniwa? Hawa wanachukuliwa na Nabi mwenyewe ndiyo maana hausikii timu nyingine yoyote ikitajwa kuwataka.
Bila kusimama imara, Simba ilikuwa iwapoteze Inonga, Kibu na hata Robertinho kwa giants wa Kaskazini.
Ndo ukweriii. Waulize wanaojua, msichukulie watu poa.Hii coment yako ilitakiwa iwe kwenye ule uzi wa vichekesho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo ukweriii. Waulize wanaojua, msichukulie watu poa.