Kwani lile zee onyango halijaomba kuondoka huko umbumbuni..?Ata utamu wa parade aujaisha watu wameshaanza kusepa
Mna mkataba nae kweli?????[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]maana wajanjawajanja sana utoMbn jibu litakua jepesi anaemtaka aje mezani
vile tu Simba msimu huu kikosi kimekosa ushindani ila Kibu huyu sio wa kupata number pale SimbaKibu mnamchukulia poa sana [emoji1787][emoji23][emoji1787]
Kibu katika ubora wake na utulivu hata EPL anacheza na hapa niko serious.vile tu Simba msimu huu kikosi kimekosa ushindani ila Kibu huyu sio wa kupata number pale Simba
Case closed.Kama viongozi wetu hawakutegemea hili watakua wapumbavu sana, club kufika pale wachezaji wengi wameonekana na watapewa ofa nyingi mezani, na mpira ni pesa, wengi huku umri umeenda Cha msingi mchezaji anataka avune kingi kabla hajastaafu, hata akijifanya siku akiachana na yanga hatakuja jangwani kuomba ugali wa watoto wake
Cha msingi kama ofa zinalipa wavute mkwanja waingie sokoni kununua wachezaji Bora pia, maana tumetengeneza profile Kuna wachezaji wataona farahi pia kujiunga na sisi
Maisha yaendelee
Kumbe jina la kwanza ni Joyce!! Wazazibar tuwe makini na majina tunayowapa watoto wetu.[emoji599] EXCL: Mabosi wa Yanga wamepigwa na butwaa, baada ya beki Joyce Lomalisa [emoji1078] kupeleka maombi ya kuvunja mkataba. Inaelezwa mezani kwa Lomalisa kuna ofa kubwa ikiwamo ya Azam FC, lakini pia ofa kutoka Morocco klabu ya RS Berkane.
View attachment 2658883
Unanifatilia sana ww kijana wa Tumbatu...Kwa kuwa mwamnyeto anakukosha rungu kipepe?
Hatutaki matangazo..na kwanza wengina tuna kazi nao..mikataba bado mibiichiHuwezi kua na wachezaji wazuri kama wale wa Yanga, alafu teams nyingine zikaacha kuwatamani. Anaemtaka Lomalisa, aje mezani tuzungumze!
Kuna wale walikua wanalilia tuzo, vipi wachezaji wao hakuna hata mmoja anaetamaniwa kusajiliwa na team nyingine?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kumbee...so kumbe mlisajili garasa.Sasa huoni ni afadhali abaki Mwamnyeto kuliko Lomalisa.
[emoji23]
Mchezaji pekee ni Bacca, Mwamnyeto, Mayele na Diarra.Kumbee...so kumbe mlisajili garasa.
Duuuh basi sawa....Mchezaji pekee ni Bacca, Mwamnyeto, Mayele na Diarra.
Hao wengine ni takataka.
Una ongelea Kibu yupi?Kibu katika ubora wake na utulivu hata EPL anacheza na hapa niko serious.
Denis Kibu Mkandaji au kule Kasulu wanamuita DKM. Mzee wa kuslide ka yuko Old Trafford 🤣😂🤣Una ongelea Kibu yupi?