KUMEKUCHA! JNHPP Kuanza kujazwa maji Disemba 15, 2022

Kama sikosei kuna wakati ilisemwa lingeanza kujazwa maji mwezi April mwaka huu unaoisha.

Usiwaamini wanasiasa kinachotamkwa midomoni sicho kilichopo kichwani.
Hata ilivyoandikwa ni kipropaganda propaganda tu. CCM wapo kazini.
 
VIPI MVUA MMEKUBALIANA NAZO
 
Piga kazi mama tumecheleweshwa mnooo kama taifa.
 
Uchaguzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nina imani na kazi nzuri zinafanywa na rais samia; Mimi nwenyewe ni miogoni kwa hao watanzania 90% walioajiriwa kwenye huu mradi.mungu ibariki serikali ya awamu ya sita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…