Kumekucha: kamati ya waamuzi (ZFF) yasema Simba ilipendelewa

Kumekucha: kamati ya waamuzi (ZFF) yasema Simba ilipendelewa

Naona hii ilikuwa Kamati ya UTO.
Chenye hasira ya kufurushwa nje ya mashindano.
Lakini nasikia walichezesha timu ya vijana akina.
Mauya
Kibwana
Romalisa
Mzimze
Kibabage
Moroko
Skudu
Msheri
Shekan
Nk.
Hicho nikikosi c

Mind u ..Yanga walipeleka kikosi C na D
 
Hilo lilikuwa wazi toka ile siku baada ya dakika za nyongeza kuisha.

Vipi kuhusu team ya APR malalamiko yao?

Mbeleko kabisa ile bora Singida F na APR zishikilie msimamo wa kutoshiriki hiyo mapendeleo cup!
Kabisa mkuu....waendage tu mbeleko fc
 
Waamuzi wa kutoka Tanzania ni wapuuzi tu, na ndio wanatuchelewesha kwenye safari ya mafanikio.
Wapo wanaochezesha mechi za Yanga maana huwa haipendelewi na mpira wao ni Mkubwa kwenye ukanda huu WA Africa. Kwa nini wasipelekwe hao?🙄🙄
 
Hao ni wazee wa propaganda. Ukiingia anga zao hauchomoki. Walijiaminisha na kuaminisha watu wana benchi bora la wachezaji wa akiba na kwamba Simba wana timu mbovu, Mapinduzi imekuja kuwaumbua hadi wameficha wachezaji. Simba imetumia Mapinduzi kuwaibua kina Mwenda, Kazi, Abdallah, Abel na pia kumfufua Miq.

Ukiwajua Yanga wala hawatakupa presha
Hata Ile Vita ya Mangungu, Kocha aliepita, Ayubu ni wao wanaiibua. Wale shabiki wasiojielewa wanajaa. Ukitaka kujua ni wajanja kuhamisha magoli angalia hii issue ya Mapinduzi wamefurushwa Zanzibar SASA Wana kazi yao kuisakama Simba. Juhudi zinafanyika Simba wakose Kombe waibue migogoro. Hii ndio furaha Yao ili wapete NBC.
 
Wapo wanaochezesha mechi za Yanga maana huwa haipendelewi na mpira wao ni Mkubwa kwenye ukanda huu WA Africa. Kwa nini wasipelekwe hao?[emoji849][emoji849]
Nahisi Wana ponzwa na hawa wakina 3 malogo
 
Kamati pia haikuona ile penalty baada ya yule mlizi wa Singida kuunawa mpira kwenye box kwa makusudi.
 
Simbaaaa,big brand
madogo walipopata kagoli ka bahati basi wakarudi nyuma wote kuzuia - sasa hawajui mpira hauishi hadi refa apulize kipenga - next time watakuwa na akili, michezo ya kukamiana ni ya kilongi time sana.

Singida bado ni average team.
 
💯
 

Attachments

  • 7B845558-3F7A-4D7B-86A1-F4AE91EAFB3E.jpeg
    7B845558-3F7A-4D7B-86A1-F4AE91EAFB3E.jpeg
    48.3 KB · Views: 1
  • B6F16607-EBE4-483A-9A49-C6B14A86E0E4.jpeg
    B6F16607-EBE4-483A-9A49-C6B14A86E0E4.jpeg
    52.6 KB · Views: 2
Now Dunia nzima itajua Simba tunabebwa[emoji32]
Simba haina ubavu mbele ya Yanga, Singida Big stars na Azam, weka ushabiki pembeni angalia mechi hizo utapata kitu. Bila mbeleko Simba haitoboi kwa timu hizo.
 
Simba haina ubavu mbele ya Yanga, Singida Big stars na Azam, weka ushabiki pembeni angalia mechi hizo utapata kitu. Bila mbeleko Simba haitoboi kwa timu hizo.
Nimeamini mkuu
 
Nadhani mwenyewe umeona Yanga kapeleka kikosi c na d kule mapinduzi

Inshort APR walipiga bomu mochwari [emoji23]

Huo ni ukweli....Yanga hawezi peleka kikosi Cha 3bln Kwa 100m
Sasa pilipili msiyoila inawawashia nini? Waacheni wanaolitaka hilo kombe walipambanie. Hamuoni aibu kutumia nguvu zote hizi kupangia wengine maisha yao?
 
Back
Top Bottom