Hicho nikikosi cNaona hii ilikuwa Kamati ya UTO.
Chenye hasira ya kufurushwa nje ya mashindano.
Lakini nasikia walichezesha timu ya vijana akina.
Mauya
Kibwana
Romalisa
Mzimze
Kibabage
Moroko
Skudu
Msheri
Shekan
Nk.
Kabisa mkuu....waendage tu mbeleko fcHilo lilikuwa wazi toka ile siku baada ya dakika za nyongeza kuisha.
Vipi kuhusu team ya APR malalamiko yao?
Mbeleko kabisa ile bora Singida F na APR zishikilie msimamo wa kutoshiriki hiyo mapendeleo cup!
Wapo wanaochezesha mechi za Yanga maana huwa haipendelewi na mpira wao ni Mkubwa kwenye ukanda huu WA Africa. Kwa nini wasipelekwe hao?🙄🙄Waamuzi wa kutoka Tanzania ni wapuuzi tu, na ndio wanatuchelewesha kwenye safari ya mafanikio.
Hata Ile Vita ya Mangungu, Kocha aliepita, Ayubu ni wao wanaiibua. Wale shabiki wasiojielewa wanajaa. Ukitaka kujua ni wajanja kuhamisha magoli angalia hii issue ya Mapinduzi wamefurushwa Zanzibar SASA Wana kazi yao kuisakama Simba. Juhudi zinafanyika Simba wakose Kombe waibue migogoro. Hii ndio furaha Yao ili wapete NBC.Hao ni wazee wa propaganda. Ukiingia anga zao hauchomoki. Walijiaminisha na kuaminisha watu wana benchi bora la wachezaji wa akiba na kwamba Simba wana timu mbovu, Mapinduzi imekuja kuwaumbua hadi wameficha wachezaji. Simba imetumia Mapinduzi kuwaibua kina Mwenda, Kazi, Abdallah, Abel na pia kumfufua Miq.
Ukiwajua Yanga wala hawatakupa presha
madogo walipopata kagoli ka bahati basi wakarudi nyuma wote kuzuia - sasa hawajui mpira hauishi hadi refa apulize kipenga - next time watakuwa na akili, michezo ya kukamiana ni ya kilongi time sana.Simbaaaa,big brand
Simba haina ubavu mbele ya Yanga, Singida Big stars na Azam, weka ushabiki pembeni angalia mechi hizo utapata kitu. Bila mbeleko Simba haitoboi kwa timu hizo.Now Dunia nzima itajua Simba tunabebwa[emoji32]
Mnashoboka sana na sisi....Kivp mkuu
ThubutuNa Kuna refa kafungiwa
Nadhani mwenyewe umeona Yanga kapeleka kikosi c na d kule mapinduzi
Inshort APR walipiga bomu mochwari [emoji23]
Sasa pilipili msiyoila inawawashia nini? Waacheni wanaolitaka hilo kombe walipambanie. Hamuoni aibu kutumia nguvu zote hizi kupangia wengine maisha yao?Huo ni ukweli....Yanga hawezi peleka kikosi Cha 3bln Kwa 100m