Kumekucha: kamati ya waamuzi (ZFF) yasema Simba ilipendelewa

Kumekucha: kamati ya waamuzi (ZFF) yasema Simba ilipendelewa

Sasa pilipili msiyoila inawawashia nini? Waacheni wanaolitaka hilo kombe walipambanie. Hamuoni aibu kutumia nguvu zote hizi kupangia wengine maisha yao?
Sisi wadau wa soka .... tunapambana kuhakikisha soka linakua ..na sio kuharikika namna hii
 
Hata Ile Vita ya Mangungu, Kocha aliepita, Ayubu ni wao wanaiibua. Wale shabiki wasiojielewa wanajaa. Ukitaka kujua ni wajanja kuhamisha magoli angalia hii issue ya Mapinduzi wamefurushwa Zanzibar SASA Wana kazi yao kuisakama Simba. Juhudi zinafanyika Simba wakose Kombe waibue migogoro. Hii ndio furaha Yao ili wapete NBC.
Wakipiga propaganda zao huku wakisaidiwa na hizi media uchwara za redio na mitandaoni, hadi kuna wanasimba wengine wanaingia kwenye mfumo bila kujua.

Uzuri muda unakujaga kuwaumbua.
 
Back
Top Bottom