Jemima Jackson
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 748
- 934
Sababu gani?Bandari ibinafsishwe tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sababu gani?Bandari ibinafsishwe tuu
Watanzania hakuna kitu cha umma ambacho tunaweza kukisimamia kikaleta tija kitaifa zaidi ya wizi na madili machafu, watanzania wanauwezo mkubwa sana wa kubuni mbinu za wizi na si uwajibikaji na uzalishaji ,tumefeli kwenye kila kitu wacha tusaidiwe.Sababu gani?
Mbona report ya CAG inaonyesha wizi kila taasisi za Serekali nazenyewe tuwape warabu? Kwanini unafikiri walioshindwa ni watanzania na sio chama kinachosimamia serekali kiondolewe,hao wezi kwanini police wasiwakamate na kuwapeleka mahakamani tuendelea na bandari zetu, badala ya kuzigawa ili kukomoa wezi?Watanzania hakuna kitu cha umma ambacho tunaweza kukisimamia kikaleta tija kitaifa zaidi ya wizi na madili machafu, watanzania wanauwezo mkubwa sana wa kubuni mbinu za wizi na si uwajibikaji na uzalishaji ,tumefeli kwenye kila kitu wacha tusaidiwe.
Ndiyo zote tuwape wawekezaji si lazima waarabu bali yeyote ili mradi mkataba uwe na tijaMbona report ya CAG inaonyesha wizi kila taasisi za Serekali nazenyewe tuwape warabu? Kwanini unafikiri walioshindwa ni watanzania na sio chama kinachosimamia serekali kiondolewe,hao wezi kwanini police wasiwakamate na kuwapeleka mahakamani tuendelea na bandari zetu, badala ya kuzigawa ili kukomoa wezi?
Jiandae wewe na bijana wawili wa uvccm na mje na fimbo kila mmoja halafu mimi nitakuwa nilivyo!Mtakutana nasi UVCCM....tumeanza mazoezi......
Kwani wewe tajiri hautakufa?Kwa akili hizi,utakufa masikini.
Tetesi zako ni ramli chonganishi. Dp WORLD wapo pale pale.Hatimaye, malalamiko ya watanzania kuhusu uhalali na vipengele vya Mkataba kati ya Tanzania na Emirati ya Dubai kupitia Kampuni ya DP World yamewafikia na kuwashtua wahusika. Taarifa za uhakika nilizozipata zinaonesha kuwa DP World wamesikia hoja za wazalendo wa kitanzania na wameguswa nazo.
Katika kutaka kujiridhisha ili kutoa uamuzi juu ya nini cha kufanya, DP World imewatuma nchini Maafisa wake watatu ili kupata undani wa jambo hilo. DP World imewatuma Maafisa wake hao ambao wamewasili nchini jana na wanatarajiwa kuzungumza sirini na makundi tofautitofauti.
Maafisa hao watazungumza na viongozi wa kiserikali na kichama-CCM; viongozi wa TPA; viongozi wastaafu mbalimbali wenye 'kuukubali' na wale 'wa kuupinga' Mkataba huo; wanasheria mbalimbali wenye mtazamo tofauti; wasomi wenye mtazamo tofauti, wanasiasa na wananchi wa kawaida.
Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa DP World kufanya jambo kama hili ili kuamua cha kufanya kabla ya muda wa kuingia Mikataba Mahsusi kufika. Kwangu mimi, hii ni hatua muhimu na adhimu kwakuwa DP World watayasikia yale yanayofurahisha na kukatisha tamaa kuhusu Mkataba wao.
Rais Samia, nini maoni yako kuhusiana na Mkataba wa Bandari kati ya Tanzania na DP World?
Mzee Tupatupa wa Lumumba ( safarini kurejea Dar es Salaam)
Nimeandika utakufa masikini,sijasema tu utakufa,toka usingizini kijana,investors sio maadui,Dunia inakwenda kasi sana,investors wapo all over the World.Kwani wewe tajiri hautakufa?
Je Joyce Banda alifanikiwa kwenye uongozi wake? Hapana.naweza sema Mwanamke katika uongozi wa juu bado sana. Samia umeaangusha wanawake
Kama hao wanatafuta maoni ya wananchi, serikali gani hii haitaki kuwasikiliza wananchi.Hatimaye, malalamiko ya watanzania kuhusu uhalali na vipengele vya Mkataba kati ya Tanzania na Emirati ya Dubai kupitia Kampuni ya DP World yamewafikia na kuwashtua wahusika. Taarifa za uhakika nilizozipata zinaonesha kuwa DP World wamesikia hoja za wazalendo wa kitanzania na wameguswa nazo.
Katika kutaka kujiridhisha ili kutoa uamuzi juu ya nini cha kufanya, DP World imewatuma nchini Maafisa wake watatu ili kupata undani wa jambo hilo. DP World imewatuma Maafisa wake hao ambao wamewasili nchini jana na wanatarajiwa kuzungumza sirini na makundi tofautitofauti.
Maafisa hao watazungumza na viongozi wa kiserikali na kichama-CCM; viongozi wa TPA; viongozi wastaafu mbalimbali wenye 'kuukubali' na wale 'wa kuupinga' Mkataba huo; wanasheria mbalimbali wenye mtazamo tofauti; wasomi wenye mtazamo tofauti, wanasiasa na wananchi wa kawaida.
Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa DP World kufanya jambo kama hili ili kuamua cha kufanya kabla ya muda wa kuingia Mikataba Mahsusi kufika. Kwangu mimi, hii ni hatua muhimu na adhimu kwakuwa DP World watayasikia yale yanayofurahisha na kukatisha tamaa kuhusu Mkataba wao.
Rais Samia, nini maoni yako kuhusiana na Mkataba wa Bandari kati ya Tanzania na DP World?
Mzee Tupatupa wa Lumumba ( safarini kurejea Dar es Salaam)
Anaweza akafanya tofauti na anavyotaka Boss wake?Tulia Ackson ni mwislamu?
Acha ujinga wewe ni nani anayekataa mwekezaji hapa tunasema mikataba yenu ya kina chief mangungo hatuitakiNimeandika utakufa masikini,sijasema tu utakufa,toka usingizini kijana,investors sio maadui,Dunia inakwenda kasi sana,investors wapo all over the World.
Hao wanakuja kutembeza rushwa ya siri siri kwa wote wanaopinga!! Itakuwa hivi: Mnaitwa kwenye kikao na wao ndio watakaolipa hiyo sitting allowance!! Sitting allowance haipingui dola 100,000/=. ambazo ni takriba Tsh 230,000,000/=. Baada ya kikao mtu anashikizwa hizo zikiwa ni taslimu na travelling checks!. Baada ya hapo nguvu ya kupinga itatoka wapi!!Hatimaye, malalamiko ya watanzania kuhusu uhalali na vipengele vya Mkataba kati ya Tanzania na Emirati ya Dubai kupitia Kampuni ya DP World yamewafikia na kuwashtua wahusika. Taarifa za uhakika nilizozipata zinaonesha kuwa DP World wamesikia hoja za wazalendo wa kitanzania na wameguswa nazo.
Katika kutaka kujiridhisha ili kutoa uamuzi juu ya nini cha kufanya, DP World imewatuma nchini Maafisa wake watatu ili kupata undani wa jambo hilo. DP World imewatuma Maafisa wake hao ambao wamewasili nchini jana na wanatarajiwa kuzungumza sirini na makundi tofautitofauti.
Maafisa hao watazungumza na viongozi wa kiserikali na kichama-CCM; viongozi wa TPA; viongozi wastaafu mbalimbali wenye 'kuukubali' na wale 'wa kuupinga' Mkataba huo; wanasheria mbalimbali wenye mtazamo tofauti; wasomi wenye mtazamo tofauti, wanasiasa na wananchi wa kawaida.
Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa DP World kufanya jambo kama hili ili kuamua cha kufanya kabla ya muda wa kuingia Mikataba Mahsusi kufika. Kwangu mimi, hii ni hatua muhimu na adhimu kwakuwa DP World watayasikia yale yanayofurahisha na kukatisha tamaa kuhusu Mkataba wao.
Rais Samia, nini maoni yako kuhusiana na Mkataba wa Bandari kati ya Tanzania na DP World?
Mzee Tupatupa wa Lumumba ( safarini kurejea Dar es Salaam)
Madam alitoroka juzi na ndege ya serikali kwenda UAE kuwaambia jamani kule kimenuka!Hatimaye, malalamiko ya watanzania kuhusu uhalali na vipengele vya Mkataba kati ya Tanzania na Emirati ya Dubai kupitia Kampuni ya DP World yamewafikia na kuwashtua wahusika. Taarifa za uhakika nilizozipata zinaonesha kuwa DP World wamesikia hoja za wazalendo wa kitanzania na wameguswa nazo.
Katika kutaka kujiridhisha ili kutoa uamuzi juu ya nini cha kufanya, DP World imewatuma nchini Maafisa wake watatu ili kupata undani wa jambo hilo. DP World imewatuma Maafisa wake hao ambao wamewasili nchini jana na wanatarajiwa kuzungumza sirini na makundi tofautitofauti.
Maafisa hao watazungumza na viongozi wa kiserikali na kichama-CCM; viongozi wa TPA; viongozi wastaafu mbalimbali wenye 'kuukubali' na wale 'wa kuupinga' Mkataba huo; wanasheria mbalimbali wenye mtazamo tofauti; wasomi wenye mtazamo tofauti, wanasiasa na wananchi wa kawaida.
Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa DP World kufanya jambo kama hili ili kuamua cha kufanya kabla ya muda wa kuingia Mikataba Mahsusi kufika. Kwangu mimi, hii ni hatua muhimu na adhimu kwakuwa DP World watayasikia yale yanayofurahisha na kukatisha tamaa kuhusu Mkataba wao.
Rais Samia, nini maoni yako kuhusiana na Mkataba wa Bandari kati ya Tanzania na DP World?
Mzee Tupatupa wa Lumumba ( safarini kurejea Dar es Salaam)
Mlolongo wote wa nini,waongee na Mwabukusi tu kwisha[emoji3]Hatimaye, malalamiko ya watanzania kuhusu uhalali na vipengele vya Mkataba kati ya Tanzania na Emirati ya Dubai kupitia Kampuni ya DP World yamewafikia na kuwashtua wahusika. Taarifa za uhakika nilizozipata zinaonesha kuwa DP World wamesikia hoja za wazalendo wa kitanzania na wameguswa nazo.