Tetesi: Kumekucha: 'Kelele' za watanzania zawafikia DP World, watuma maofisa wao kujiridhisha

Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa DP World kufanya jambo kama hili ili kuamua cha kufanya kabla ya muda wa kuingia Mikataba Mahsusi kufika.
Kwani hakukuwa na mkataba mahsusi? Ule uliokwenda bungeni na kujadiliwa na kupitishwa ni nini?
 
Waarabu wamekuja kudai pesa zao. Dadadeki waliozila watazitapika. Kitenge, Hando na Zembwela wanaanza nao.
 
Hongereni sana sana wanaharakati wazalendo, hongereni sana sana Mungu atawalipa kwa kazi kubwa mnayofanya kuelimisha UMMA. Mmekuwa mkipigana kuokoa raslimali zetu dhidi ya hawa MAJAMBAZI wasio na huruma na vizazi vya nchi hii.
Mola atawalipa mara 10,000 na akawaadhibu kwa laana mbaya kabisa haya majambazi
 
Hatimaye, malalamiko ya watanzania kuhusu uhalali na vipengele vya Mkataba kati ya Tanzania na Emirati ya Dubai kupitia Kampuni ya DP World yamewafikia na kuwashtua wahusika. Taarifa za uhakika nilizozipata zinaonesha kuwa DP World wamesikia hoja za wazalendo wa kitanzania na wameguswa nazo.

Katika kutaka kujiridhisha ili kutoa uamuzi juu ya nini cha kufanya, DP World imewatuma nchini Maafisa wake watatu ili kupata undani wa jambo hilo. DP World imewatuma Maafisa wake hao ambao wamewasili nchini jana na wanatarajiwa kuzungumza sirini na makundi tofautitofauti.

Maafisa hao watazungumza na viongozi wa kiserikali na kichama-CCM; viongozi wa TPA; viongozi wastaafu mbalimbali wenye 'kuukubali' na wale 'wa kuupinga' Mkataba huo; wanasheria mbalimbali wenye mtazamo tofauti; wasomi wenye mtazamo tofauti, wanasiasa na wananchi wa kawaida.

Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa DP World kufanya jambo kama hili ili kuamua cha kufanya kabla ya muda wa kuingia Mikataba Mahsusi kufika. Kwangu mimi, hii ni hatua muhimu na adhimu kwakuwa DP World watayasikia yale yanayofurahisha na kukatisha tamaa kuhusu Mkataba wao.

Rais Samia, nini maoni yako kuhusiana na Mkataba wa Bandari kati ya Tanzania na DP World?

Mzee Tupatupa wa Lumumba ( safarini kurejea Dar es Salaam)
Naona tatizo bado halijatatuliwa! Bado nashikwa na hasira pale ambapo serikali ya Dubai ilitakiwa kusain alafu kasain mkurugenzi wa Bandari! Hivi ni kweli mkataba na nchi na nchi wa kusaini na Mkurugenzi wa Bandari? Mi naona hii issue ianze upya kabisa tukasian na wahusika
 
Hatimaye, malalamiko ya watanzania kuhusu uhalali na vipengele vya Mkataba kati ya Tanzania na Emirati ya Dubai kupitia Kampuni ya DP World yamewafikia na kuwashtua wahusika. Taarifa za uhakika nilizozipata zinaonesha kuwa DP World wamesikia hoja za wazalendo wa kitanzania na wameguswa nazo.

Katika kutaka kujiridhisha ili kutoa uamuzi juu ya nini cha kufanya, DP World imewatuma nchini Maafisa wake watatu ili kupata undani wa jambo hilo. DP World imewatuma Maafisa wake hao ambao wamewasili nchini jana na wanatarajiwa kuzungumza sirini na makundi tofautitofauti.

Maafisa hao watazungumza na viongozi wa kiserikali na kichama-CCM; viongozi wa TPA; viongozi wastaafu mbalimbali wenye 'kuukubali' na wale 'wa kuupinga' Mkataba huo; wanasheria mbalimbali wenye mtazamo tofauti; wasomi wenye mtazamo tofauti, wanasiasa na wananchi wa kawaida.

Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa DP World kufanya jambo kama hili ili kuamua cha kufanya kabla ya muda wa kuingia Mikataba Mahsusi kufika. Kwangu mimi, hii ni hatua muhimu na adhimu kwakuwa DP World watayasikia yale yanayofurahisha na kukatisha tamaa kuhusu Mkataba wao.

Rais Samia, nini maoni yako kuhusiana na Mkataba wa Bandari kati ya Tanzania na DP World?

Mzee Tupatupa wa Lumumba ( safarini kurejea Dar es Salaam)
Mh.Rais SSH kanyaga twende [emoji120]

Wengi tuko nyuma yako.....tunataka maslahi mapana kupitia DP WORLD [emoji123]

#SiempreJMT[emoji120]
 
Hatimaye, malalamiko ya watanzania kuhusu uhalali na vipengele vya Mkataba kati ya Tanzania na Emirati ya Dubai kupitia Kampuni ya DP World yamewafikia na kuwashtua wahusika. Taarifa za uhakika nilizozipata zinaonesha kuwa DP World wamesikia hoja za wazalendo wa kitanzania na wameguswa nazo.

Katika kutaka kujiridhisha ili kutoa uamuzi juu ya nini cha kufanya, DP World imewatuma nchini Maafisa wake watatu ili kupata undani wa jambo hilo. DP World imewatuma Maafisa wake hao ambao wamewasili nchini jana na wanatarajiwa kuzungumza sirini na makundi tofautitofauti.

Maafisa hao watazungumza na viongozi wa kiserikali na kichama-CCM; viongozi wa TPA; viongozi wastaafu mbalimbali wenye 'kuukubali' na wale 'wa kuupinga' Mkataba huo; wanasheria mbalimbali wenye mtazamo tofauti; wasomi wenye mtazamo tofauti, wanasiasa na wananchi wa kawaida.

Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa DP World kufanya jambo kama hili ili kuamua cha kufanya kabla ya muda wa kuingia Mikataba Mahsusi kufika. Kwangu mimi, hii ni hatua muhimu na adhimu kwakuwa DP World watayasikia yale yanayofurahisha na kukatisha tamaa kuhusu Mkataba wao.

Rais Samia, nini maoni yako kuhusiana na Mkataba wa Bandari kati ya Tanzania na DP World?

Mzee Tupatupa wa Lumumba ( safarini kurejea Dar es Salaam)
Nilikuambia njoo tukutane Wana family ya jamiiforums pale igoma shamaliwa shule hukutokea
 
Vipengere vikiwekwa sawa hakuna shida, wapewe
Hao wameisha jionesha sura yao wakoje wameisha feli ni sawa na mwizi akili kwamba amekuibia halafu umuamini kumuacha nyumbani wakati haja kili kwamba ameacha tabia yake ya wizi, hapo hesabu maumivu maana hapo anakulia timing ya kukumaliza kabisa! kama suala ni uwekezaji kwanini tuwang'ang'anie hao tu, kwani hakuna wawekezaji wengine?
 
Back
Top Bottom