Tetesi: Kumekucha: 'Kelele' za watanzania zawafikia DP World, watuma maofisa wao kujiridhisha

Tetesi: Kumekucha: 'Kelele' za watanzania zawafikia DP World, watuma maofisa wao kujiridhisha

Kumbe mda wa kuingia mkataba Bado Sasa makelele ya upotoshaji ya nini?
Mkataba tayari; kilichosainiwa bungeni ni mkataba mama utakaoshikilia vimkataba vitoto vyote na vitukuu vitakavyofata. Sasa kama huu mkataba mama una ukimwi; vijavyo vitakuwa na ukimwi hasa ukizingatia hivyo sasa ni siri utakiwi kujua doz vinatibiwaje na wapi.
 
Udini haukufikishi popote
Udini uko wapi? Kwani siyo muislamu? Fatma alisha salimu amri baada ya dada yake samia kuwa rais , siku hizi amenyamaza kabisa tangu Samia aingie madarani.... umemsikia kwenye sakata la bandari?
Maria Sarungi naye unamuweka wapi?.......
 
Wenzako wanapigwa nje ndani na wanatumiwa meseji kuwa wajiandae kuuawa.

Moja ya nchi ya kipekee kabisa duniani ambayo mtu ukiuliza kuhusu jambo uliloletewa kuulizwa, unaambiwa jiandae kufa au umeongwa!.
Jambo lolote lenye nia ovu huzingirwa na matukio ya giza giza.
 
Lakini Golda Meir (Israel) na Magreth Thatcher (Uingereza) waliweza vema kabisa tena kwenye nchi kubwa. Au unasemaje
Ungemleta mmojawapo wa hawa aje asimame kwa mfumo huu na chawa hawa wa Ccm kama atatoboa,Big NO. Mfumo ndio unawezesha. Samia ukimpeleka huko Israel au Uingereza kwa nafasi zao atafanya vizuri Vyombo na mfumo wa kule imenyooka.
 
Haya mambo ya vikao vya siri kwenye maamuzi ya kitaifa ndio baadae yanakuja kugundulika tuliingia choo cha kike.
Imetokea hovyo before, na watafanya hivyo again kama wananchi hawatosimama
 
Hii kampuni ya DP-World kama ni Genuine kabisa iachana na hii kitu, isije ikajiondolea uaminifu (trustworthy) ulimwenguni katika nchi ambazo ina-operate ikaonekana ni ya kitapeli. Hii ndugu zangu ni kashfa kubwa katika suala la uwekezaji wa kimataifa.
 
Huo sasa Udini, tatizo ni Chama chake.
amezungukwa na watu gani majority...... kwao 98% ni wa dini yakle unjua wanamwambiaje? Umesikia sauti yoyote ya kupinga mkataba kutoka zanzibar? Kikwete umesikia sauti yake? It is my thinking..... najaribu kuwa wide
 
Ngoja kigagula Faiza Foxy akusikie
ataniua, nitam block! Yule padri wa Kenye aliyefia guest house na mwanamke, ni mtazamo hasi kwa mapadre wa kikatoliki. Wakati ni individual weaknes, lkn amewadhalilisha mapadre...so to say
 
amezungukwa na watu gani majority...... kwao 98% ni wa dini yakle unjua wanamwambiaje? Umesikia sauti yoyote ya kupinga mkataba kutoka zanzibar? Kikwete umesikia sauti yake? It is my thinking..... najaribu kuwa wide
Nadhani ni bora ungeomba radhi kwa kusema Wanawake Waislam hawawezi uongozi ninayo list kubwa hapa zaidi ya hiyo ya Golda Meir na Thatcher.
 
Hivi yule askari anayekaa pale nyuma ya rais kazi yake nini? Huyu ndio alitakiwa amzuie Samia asiingizwe mkenge kule Dubai wa kuingia mkataba wa ovyo. Kuna haja pale akae mtu makini sio tu mwenye intelligence ya kiaskari, bari na mambo mengine kama haya ya sheria. Au kwenye kachumba ka maongezi walimtoa. Kama Samia alishupalia sasa hapa ndio tatizo kwenye katiba, vyombo vya usalama vinatakiwa viwe na meno linapotokea tukio la kuvunja katiba na kanuni zake, hasa kwa nafasi yarais. Mana mtifuano wote huu ni namna alivyotumbukiza mguu kwenye Dpw
 
Back
Top Bottom