bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,794
- 7,551
typical male chauvinist .....naweza sema Mwanamke katika uongozi wa juu bado sana. Samia umeaangusha wanawake au to be specific wanawake wa Kiislamu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
typical male chauvinist .....naweza sema Mwanamke katika uongozi wa juu bado sana. Samia umeaangusha wanawake au to be specific wanawake wa Kiislamu!
Kwahiyo unataka kusema mafundisho ya dini yali mshape hata John P Magufuli ili aue watu?LAKINI mafundisho ya dini yana mshape mtu
all in all nimefuta hiyo portion ya dini....Kwahiyo unataka kusema mafundisho ya dini yali mshape hata John P Magufuli ili aue watu?
Mimi nafikiri tupambane kuitoa CCM madarakani lakini tusije kuangukia kwenye mitego yao ambayo ni Devide and rule.
Samia hata hiyo hijabu kaanza kuivaa baada ya kulazimishwa na Wazee wa CCM..
atawachachafya.......hawamuwezi labda kwa kumuonea.....Nimesikia yule Mwanasheria Msomi Mwabukusi ameitwa polisi Mbeya.
Angela Merkel, Margaret Thatcher , ......., e.t.c.Siyo wote, Golda Meir, Iron Lady... unawaonaje? si wote
Dini zote zina mafundisho dhidi ya dini nyingine na kuitana majina ni moja ya mafundisho hayo kwa mfano heathens au kafiri.zamani........alipitia seminari, sidhani kama alifundishwa kuua watu.
Rais Samia, nini maoni yako kuhusiana na Mkataba wa Bandari kati ya Tanzania na DP World?[emoji419][emoji375]Hatimaye, malalamiko ya watanzania kuhusu uhalali na vipengele vya Mkataba kati ya Tanzania na Emirati ya Dubai kupitia Kampuni ya DP World yamewafikia na kuwashtua wahusika. Taarifa za uhakika nilizozipata zinaonesha kuwa DP World wamesikia hoja za wazalendo wa kitanzania na wameguswa nazo.
Katika kutaka kujiridhisha ili kutoa uamuzi juu ya nini cha kufanya, DP World imewatuma nchini Maafisa wake watatu ili kupata undani wa jambo hilo. DP World imewatuma Maafisa wake hao ambao wamewasili nchini jana na wanatarajiwa kuzungumza sirini na makundi tofautitofauti.
Maafisa hao watazungumza na viongozi wa kiserikali na kichama-CCM; viongozi wa TPA; viongozi wastaafu mbalimbali wenye 'kuukubali' na wale 'wa kuupinga' Mkataba huo; wanasheria mbalimbali wenye mtazamo tofauti; wasomi wenye mtazamo tofauti, wanasiasa na wananchi wa kawaida.
Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa DP World kufanya jambo kama hili ili kuamua cha kufanya kabla ya muda wa kuingia Mikataba Mahsusi kufika. Kwangu mimi, hii ni hatua muhimu na adhimu kwakuwa DP World watayasikia yale yanayofurahisha na kukatisha tamaa kuhusu Mkataba wao.
Rais Samia, nini maoni yako kuhusiana na Mkataba wa Bandari kati ya Tanzania na DP World?
Mzee Tupatupa wa Lumumba ( safarini kurejea Dar es Salaam)
Kafanye homework yako vizuri. DP World wapo siku nyingi. Kila siku wanakuja na kuondoka, wana mengi sana ya kufanya.Hatimaye, malalamiko ya watanzania kuhusu uhalali na vipengele vya Mkataba kati ya Tanzania na Emirati ya Dubai kupitia Kampuni ya DP World yamewafikia na kuwashtua wahusika. Taarifa za uhakika nilizozipata zinaonesha kuwa DP World wamesikia hoja za wazalendo wa kitanzania na wameguswa nazo.
Katika kutaka kujiridhisha ili kutoa uamuzi juu ya nini cha kufanya, DP World imewatuma nchini Maafisa wake watatu ili kupata undani wa jambo hilo. DP World imewatuma Maafisa wake hao ambao wamewasili nchini jana na wanatarajiwa kuzungumza sirini na makundi tofautitofauti.
Maafisa hao watazungumza na viongozi wa kiserikali na kichama-CCM; viongozi wa TPA; viongozi wastaafu mbalimbali wenye 'kuukubali' na wale 'wa kuupinga' Mkataba huo; wanasheria mbalimbali wenye mtazamo tofauti; wasomi wenye mtazamo tofauti, wanasiasa na wananchi wa kawaida.
Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa DP World kufanya jambo kama hili ili kuamua cha kufanya kabla ya muda wa kuingia Mikataba Mahsusi kufika. Kwangu mimi, hii ni hatua muhimu na adhimu kwakuwa DP World watayasikia yale yanayofurahisha na kukatisha tamaa kuhusu Mkataba wao.
Rais Samia, nini maoni yako kuhusiana na Mkataba wa Bandari kati ya Tanzania na DP World?
Mzee Tupatupa wa Lumumba ( safarini kurejea Dar es Salaam)
mazungumzo hayo yawe live ili tujue nini kinaongelewa au ni mafurushi ya pesa yanagawiwa. tujue.Hatimaye, malalamiko ya watanzania kuhusu uhalali na vipengele vya Mkataba kati ya Tanzania na Emirati ya Dubai kupitia Kampuni ya DP World yamewafikia na kuwashtua wahusika. Taarifa za uhakika nilizozipata zinaonesha kuwa DP World wamesikia hoja za wazalendo wa kitanzania na wameguswa nazo.
Katika kutaka kujiridhisha ili kutoa uamuzi juu ya nini cha kufanya, DP World imewatuma nchini Maafisa wake watatu ili kupata undani wa jambo hilo. DP World imewatuma Maafisa wake hao ambao wamewasili nchini jana na wanatarajiwa kuzungumza sirini na makundi tofautitofauti.
Maafisa hao watazungumza na viongozi wa kiserikali na kichama-CCM; viongozi wa TPA; viongozi wastaafu mbalimbali wenye 'kuukubali' na wale 'wa kuupinga' Mkataba huo; wanasheria mbalimbali wenye mtazamo tofauti; wasomi wenye mtazamo tofauti, wanasiasa na wananchi wa kawaida.
Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa DP World kufanya jambo kama hili ili kuamua cha kufanya kabla ya muda wa kuingia Mikataba Mahsusi kufika. Kwangu mimi, hii ni hatua muhimu na adhimu kwakuwa DP World watayasikia yale yanayofurahisha na kukatisha tamaa kuhusu Mkataba wao.
Rais Samia, nini maoni yako kuhusiana na Mkataba wa Bandari kati ya Tanzania na DP World?
Mzee Tupatupa wa Lumumba ( safarini kurejea Dar es Salaam)
Kwanini isiwe Waziri wao wa Uchukuzi?Eti maafisa Dp- world
Kimsingi serikali imekuja kivingine baada ya Dili kubuma na kujinasua Sasa imewatuma mgongo wa nyuma Dp-world
Haitasaidia maana wanazungumza na wale wale walioingia mkatabaHatimaye, malalamiko ya watanzania kuhusu uhalali na vipengele vya Mkataba kati ya Tanzania na Emirati ya Dubai kupitia Kampuni ya DP World yamewafikia na kuwashtua wahusika. Taarifa za uhakika nilizozipata zinaonesha kuwa DP World wamesikia hoja za wazalendo wa kitanzania na wameguswa nazo.
Katika kutaka kujiridhisha ili kutoa uamuzi juu ya nini cha kufanya, DP World imewatuma nchini Maafisa wake watatu ili kupata undani wa jambo hilo. DP World imewatuma Maafisa wake hao ambao wamewasili nchini jana na wanatarajiwa kuzungumza sirini na makundi tofautitofauti.
Maafisa hao watazungumza na viongozi wa kiserikali na kichama-CCM; viongozi wa TPA; viongozi wastaafu mbalimbali wenye 'kuukubali' na wale 'wa kuupinga' Mkataba huo; wanasheria mbalimbali wenye mtazamo tofauti; wasomi wenye mtazamo tofauti, wanasiasa na wananchi wa kawaida.
Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa DP World kufanya jambo kama hili ili kuamua cha kufanya kabla ya muda wa kuingia Mikataba Mahsusi kufika. Kwangu mimi, hii ni hatua muhimu na adhimu kwakuwa DP World watayasikia yale yanayofurahisha na kukatisha tamaa kuhusu Mkataba wao.
Rais Samia, nini maoni yako kuhusiana na Mkataba wa Bandari kati ya Tanzania na DP World?
Mzee Tupatupa wa Lumumba ( safarini kurejea Dar es Salaam)
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Mimi nipewe heka arobaini za ardhi, madini na faru watatu.
Bandari ibinafsishwe tuuHakuna sababu ya kubifadi bandari, kama wanataka kuwekeza kuna uwanja wa ndege wa chato tutawapa watuletee watalii sio bandari.